Nini Hatma ya MCC na AGOA baada ya Trump kuwa Rais wa Marekani?

mkuu nimefurai sana huyu bwana kuwa rais wa marekani ili atunyooshe waafrica tuache utegamezi na kujitegemea wenyewe na kuzitumia vizuri rathilimali tulizoruzukiwa na Mwenyezi Mungu.
 
Mbona TRUMP yuko kwenye uhalisia wa MAGUFULI? Huenda wakapatana.
 
Kuna mwandishi aliwaisema waafrika WAPUMBAVU naanza kuamin na hsa WATANZANIA,iv Trump ana nguvu ipi yakuvuruga mifumo ya nchi zingne,yan ushindi wake as if ni mzawa wa Tanzania wanamueka mbele kwa siasa zao za chuki na chama Tawala.
TRUMP
Raiswa US
Anakazi kubwa yakujenga US
Ana majukumu ya kutmiza ahadi zake
TUACHE KUJIVUA THAMANI KWA SIASA ZETU ZA CHUKI KWAKUMFANYA TRUMP NGUZO,HUO NI UJUHA WA HALI YA JUU,
Tujenge Taifa letu,
 
Halafu huyo Jamaa Muamerikano Nikimwangalia Sana, Maamuzi yake Anafanana Na Mze, hapendi Ujinga Kabisa, Nadhani na yeye Ni Mchaka Mchaka wa Kazi tu.
Mchakamchaka wa hapa kazi tu bila ajira kwa vijana for almost a year now. Hizi slogans sijui huwa wanazitoa wapi
 
utajenga vp wakat kuna mtu anasema tanzania yake ajenge yeye
 
Batanzanie baone haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…