Nini hatma ya miradi ya Chato?

Najaribu kuwaza akina Saanane
 
Ongeza nyama hapa umeweka mchuzi tuu
 
Ni kama Mtoto mwenye UCHU na MALI za Mzazi wake baada ya KIFO....

Hana haya (aibu) huyo...
Badala uwaze maombi wewe wawaza Mali za duniani naomba utuache tuko na msiba mnene mpendwa wa taifa kaondoka niko na majonzii.
 
Hahahhaha.Mungu ampumnzishe kwa amani. Rais wetu aliyesema yeye hashauriki.
Hata mimi nimekupenda sana kwa michango yako kwenye suala hili la ukaribu wako acha Mpendwa wetu apumzike sitamsahau kwenye UMEME WA TANESCO
 
Uwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, chuo cha VETA, mbuga, kulikuwa na mpango wa uwanja wa mpira nk nk.

Je, Serikali itaiendeleza?
Hiyo siyo miradi ya kipaumbele wala kimkakati. Tunakwenda kwa priorities. Ile zoo ya Bulige labda ije rejuvenate naturally kuwa mbuga la sivyo hakuna kupeleka tena resource kule maana bado tuna mbuga nyingi natural z kuendeleza
 
Uwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, chuo cha VETA, mbuga, kulikuwa na mpango wa uwanja wa mpira nk nk.

Je, Serikali itaiendeleza?
Sasa hapo chuo cha veta kimeshakamilika na kilishaanza udahili na kina wanafunzi
Concern labda ni hiyo airport lakini hospitali si ilishafikia 80% kwa tulivyofahamishwa last time
 
Wanakwambia leo Chato chai hainyweki, chakula hakiliki, huyu mzee alikuwa anapendwa sana kwao
 
Ungekuwa unalia kweli usingepata nguvu ya kuandila paka msiba upite
 
Upande mwingine ni mjinga lakini ukiangalia mkoa wa Mara unagundua kidogo zilikuwemo akili viongozi wengi wamepita kule ila mpaka leoara ni kati ya mikoa maskini tz


Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Kama ina tija kwa taifa zima iendelezwe.
 
Sasa hapo chuo cha veta kimwsha kamilika na kilisha anza udahili na kina wanafunzi
Concern labda ni iyo airport lkn hospital si ilisha fikia 80% kwa tulivyo fahamishwa last time

Kwa miradi ambayo tayari imekamilika yes, haitakuwa na shaka kwamba itaendelea.

Mfano hiyo hospital hata kama itaisha unadhani itapewa hadhi ya Rufaa? Maana ndo ilikuwa plan.
 

Kama mama yake Kabendera alivyolia kabla ya kufariki.
 
Unalia au unajiliza liza?
 
Uwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, chuo cha VETA, mbuga, kulikuwa na mpango wa uwanja wa mpira nk nk.

Je, Serikali itaiendeleza?
Baada ya mazishi Uwanja hautahitajija eneo warudishiwe wananchi walionyang'anywa mashamba na machungio yao na kuhamishwa kupisha ujenzi, Hospitali ya Rufaa iwe Kituo cha Afya, Chuo cha VETA kiwe cha Taifa, Mbuga ibaki Forest Reserve na Uwanja wa Mpira utupiliwe mbali maana Wasukuma ni wafugaji siyo wachezaji. Miradi yote hiyo kama Wasukuma wa Chato wangeulizwa na kutakiwa wagharamie wenyewe kwa kuuza mifugo yao wangeikataa na kumpiga mawe mleta wazo maana siyo vipaumbele vyao. Wasukuma wazuri sana wameharibiwa na Awamu ya Tano!
 
Kwa miradi ambayo tayari imekamilika yes, haitakuwa na shaka kwamba itaendelea.

Mfano hiyo hospital hata kama itaisha unadhani itapewa hadhi ya Rufaa? Maana ndo ilikuwa plan.
Sasa ndugu yame majengo pale ivi umeyaona? Ni A class building huwezi kuyatelekeza tena ukitazama kwa sekta nyeti kama ya afya na isitoshe nikisikiaga kama kuna vifaa pia vilishaanza kufungwa so to me ni GREEN light
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…