Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Najaribu kuwaza akina SaananeJamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] mama yake atalia sana, huyu sio Rais tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.
Sasa kama mimi nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.