Nini hatma ya miradi ya Chato?

Twiga naye apelekwe wapi? Maana Kigwangala alimpeleka mmoja
Kuna Simba na Swala hiyo mbuga tulishaikataa
 
Uwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, chuo cha VETA, mbuga, kulikuwa na mpango wa uwanja wa mpira nk nk.

Je, Serikali itaiendeleza?
Imeshaisha hiyooooooo!!! Zamani tulikuwa tunasema Karasiiiiii!!
 
Ben Saanane na Lissu alikuwa mtoto wa sokwe?.
 
Tatizo ambalo tunakabiliana nalo sasa ni mdololo wa uchumi hasa kutokana na corona. Miradi mingi ilianzishwa kabla ya corona na sasa mapato yamepungua km sekta ya utalii. Hivyo serikali lazima iainishe miradi kulingana na mapato ya nchi na vipa umbele vya maendeleo. Haina maana kulundika miradi mingi isiyokuwa na tija ktk wilaya moja ndogo wkt zipo sehemu nyingi tena zenye idadi kubwa ya watu lkn ziko nyuma kimaendeleo.
 
Acha unafique....fikiria kuhus mamake Eric kabendera,fikiria binti wa mawazo, fikiria mke wa azory gwanda,ndo uje ukomement upya hapa
 
hata tundu lissu na ben saa nane nao wana mama zao.kwa hiyo mama ake magufuli ndio mama bora au??? bora hilo shetani limekufa watu tuishi kwa uhuru.mama ake mwenyewe atakuwa amefurahi.nina uhakika mama ake na mke wake walikuwa hawafurahii ukatili aliokuwa anafanya.kwanza mkewe atakuwa amefurahi kuwa mjane kuliko kuishi na hilo ibilisi tena wamzike haraka tumsahau kabisa.mimi sihesabii kama Tanzania imewahi kuwa na rais anayeitwa magufuli
 
Uwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, chuo cha VETA, mbuga, kulikuwa na mpango wa uwanja wa mpira nk nk.

Je, Serikali itaiendeleza?
Mambo ya Jiwe yametuacha tukiwa na maswali mengi sana 🤣 🤣
 
Mtoto wa mtu aliyepigwa risasi 38 kisha akaambiwa katoroka bila taarifa kwa Spika aliniuma sana.
Huyu si kajifia tu, mbona watu wanakufa kila siku na silii
akamvua na ubunge.na alitoa amri kwamba marufuku tundu lissu kuletwa dar bali akazikwe Singida haraka Sana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] badala yake ametangulia yeye[emoji2][emoji2]
 
Hivi Lissu enzi zile anateseka alikua mtoto wa mbwa? Jaman tusijifanye wasahaulifu so far wote wapitaji ila kuna dude lipo limevimba mashavu
 
Itamalizwa kwani ni utawala wa chadema mpaka isitishwe?
 
Nimeshindwa kulala hadi nalia machozi. Hivi nyie mnajua mtoto wa mtu anauma kiasi gani? Mama yake ataambiwa nini yule mzee??
Mama wa Been Saanane, Azory na wengineo waliopotea na kupatikana wakiwa wameshakufa na ambao hawakupatikana kabisa waliambiwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…