Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Twiga naye apelekwe wapi? Maana Kigwangala alimpeleka mmojaBaada ya mazishi Uwanja hautahitajija eneo warudishiwe wananchi walionyang'anywa mashamba na machungio yao na kuhamishwa kupisha ujenzi, Hospitali ya Rufaa iwe Kituo cha Afya, Chuo cha VETA kiwe cha Taifa, Mbuga ibaki Forest Reserve na Uwanja wa Mpira utupiliwe mbali maana Wasukuma ni wafugaji siyo wachezaji. Miradi yote hiyo kama Wasukuma wa Chato wangeulizwa na kutakiwa wagharamie wenyewe kwa kuuza mifugo yao wangeikataa na kumpiga mawe mleta wazo maana siyo vipaumbele vyao. Wasukuma wazuri sana wameharibiwa na Awamu ya Tano!
Kuna Simba na Swala hiyo mbuga tulishaikataa