Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
It was all in fear of him, walikuwa wakijipendekeza kwake wabaki kwenye hiyvo vyeo.Point yangu inabase kwenye jinsi ambavyo viongozi wa serikali walikuwa wanaitetea hiyo miradi, najiuliza je wataiendeleza?
Inaonyesha jinsi gani Rais alikuwa amezungukwa na wanafiki kuliko unavyodhani