Nini hatma ya miradi ya Chato?

Nini hatma ya miradi ya Chato?

Nimeshindwa kulala hadi nalia machozi. Hivi nyie mnajua mtoto wa mtu anauma kiasi gani? Mama yake ataambiwa nini yule mzee??
Mpaka mtu maarufu afe ndo ulie ama? Vipi kuhusu hao wengine mtaani wanaokufa kila siku? Sio watoto wa watu hao? Unafiki sio kitu kizuri. Muhimu ni kumuombea Mungu ampokee.
 
Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] mama yake atalia sana, huyu sio Rais tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.

Sasa kama mimi nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Umefanya nimkumbuke marehemu Mama. ,Umeongea kiungwana Sana. Mola akujalie mapacha ili uzao wako uongezeke zaidi
 
Hii Miradi ambayo haijapitishwa na Bunge Rais wa sasa asiipitishe
ni wapi tuiiona Bajeti ya Reli ya SGR toka Mwanza, mara Daraja la Busisi hivi ni kwanini lisijengwe daraja ya Bagamoyo hadi Zanzibar, huko kwenye kupitisha Mbuga za wanyama kwa awamu hii iliyobaki pasipelekwe tena fedha kwani hazitalipa chochote
Acha matusi mkuu huko nako kuna watu sio wanyama
 
Umefanya nimkumbuke marehemu Mama. ,Umeongea kiungwana Sana. Mola akujalie mapacha ili uzao wako uongezeke zaidi
Asante sana. Hiyo comment nimetukanwa sana.eti kwani waliokufa hawakuwa watoto wa watu? Ndio walikuwa watoto wa watu lakini sisi ni akina nani tuseme mafufuli ndo aliwauwa direct? Kama walifanya wengine yeye akabeba nzigo kama employer's liability tuache Mungu amuhukumu.
Mm magafuri hajaniuma kama raisi. Ameniuma kama yeye sio kwa cheo chake.
Mimi sijazaa ila ntakuja kuwa na mtoto je likimtokea mwanangu si ntaumia vile vile?
Familiya yake siku anazikwa watakuwa katika hali gani?
Sio kwamba sijui waliokufa najua ila siwezi thibitisha kuwa aliwauwa yeye direct wenda ni chawa wake yeye akakubali kuwalinda chawa wake.
Hivyo basi tuache wahukumiwe wenyewe kwa makosa yao.
Wanawake tumeumbia huruma.
Na siku zote muombee adui yako aishi miaka mingi, asife bila kuona mafanikio yako
Maana ukifanikiwa adui yako ashakufa hatojua mafanikio yako.
Mm nimejikuta tu naumia tena naumia sana wakati nilikuwa simpendi kiviile, hata ukisoma coments zangu za humu sikuwahi mshabekia huyu mtu ila swala la kifo limenigusa mpaka nashangaa haya maumivu nayatoa wapi?

Hivyo basi sina chuki nae na juma pili namuombea misa kanisani apumzike kwa amani.
 
Mpaka mtu maarufu afe ndo ulie ama? Vipi kuhusu hao wengine mtaani wanaokufa kila siku? Sio watoto wa watu hao? Unafiki sio kitu kizuri. Muhimu ni kumuombea Mungu ampokee.
Una uakika wale sikulia? Nikwambie mm niko tofauti sana mm nina machozi ya karibu sana hakuna mtu nilishawahi ona video ya mazishi yake nisilie niwe namjua au nisimjue.

Movie tu nikiona waombolezaji wanalia na mm nalia sembuse mtu ninae mjua?
Personally 2014 nilishawahi ongea na magufuli akiwa waziri.alipokea simu yangu tho hakumaliza shida yangu nahisi ilikuwa nje ya uwezo wake. No yake nilipewa na ndugu yake akaniomba nisimtaje.so hicho kidogo ninachomjua wakati mm sio msukuma mwenzake kinatosha kuumizwa na kifo chake.
 
Kulia umependa, msiba wa Mama Janeth kule Chato, wewe uko Tandahimba au Tunduru unajiliza. Unajifanya una machungu so ajabu hata hujui kesho utapata wapi japo mlo mmoja wa familia yako.
Fanya yanayokuhusu.
Niko karibu na chato kabisa.mpaka muda huu nina watu watatu wanataka wanifate twende mazishini. Marafiki zake jpm
Ila sitoenda kwa sababu zangu mwenyewe. Ninapoishi mwili wake utapita kwa hiyo kama ni kulia ntalia sana tu.
Kuhusu kula hiyo nina uakika nalo kama nikiwa hai. Hilo sina shaka nalo.hofu yangu tu kuwa na uhai ila sio mambo ys msosi.

Rip jpm
 
Asante sana. Hiyo comment nimetukanwa sana.eti kwani waliokufa hawakuwa watoto wa watu? Ndio walikuwa watoto wa watu lakini sisi ni akina nani tuseme mafufuli ndo aliwauwa direct? Kama walifanya wengine yeye akabeba nzigo kama employer's liability tuache Mungu amuhukumu.
Mm magafuri hajaniuma kama raisi. Ameniuma kama yeye sio kwa cheo chake.
Mimi sijazaa ila ntakuja kuwa na mtoto je likimtokea mwanangu si ntaumia vile vile?
Familiya yake siku anazikwa watakuwa katika hali gani?
Sio kwamba sijui waliokufa najua ila siwezi thibitisha kuwa aliwauwa yeye direct wenda ni chawa wake yeye akakubali kuwalinda chawa wake.
Hivyo basi tuache wahukumiwe wenyewe kwa makosa yao.
Wanawake tumeumbia huruma.
Na siku zote muombee adui yako aishi miaka mingi, asife bila kuona mafanikio yako
Maana ukifanikiwa adui yako ashakufa hatojua mafanikio yako.
Mm nimejikuta tu naumia tena naumia sana wakati nilikuwa simpendi kiviile, hata ukisoma coments zangu za humu sikuwahi mshabekia huyu mtu ila swala la kifo limenigusa mpaka nashangaa haya maumivu nayatoa wapi?

Hivyo basi sina chuki nae na juma pili namuombea misa kanisani apumzike kwa amani.
Acheni unafiki. Mnafiq mkubwa wewe.
 
Inayowezekana kuendelezwa itaendelezwa...
Isiyowezekana itasubiri...
 
Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] mama yake atalia sana, huyu sio Rais tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.

Sasa kama mimi nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Hata kina Ben Saanane, Mawazo, Azory nao Walikuwa na wazazi wao na wao walisikia uchungu...Mwache familia yake na huyo mama yake nae asikie uchungu waliokuwa wanasikia wenzake ambao watoto wao walikuwa wanaokotwa kwenye viroba
 
Ile hospitali inaweza kumaliziwa lakini haitakuwa hospitali ya kanda.

Uwanja wa ndege ilikuwa uharibifu wa pesa. Hakuna namna.

Uwanja wa mpira, haujajengwa na hauna umuhimu kwa kuzingatia jiografia ya huko walikotaka kujenga.

VETA ni muhimu kukamilisha, vijana waweze kupata mafunzo ya stadi mbalimbali.

Pori la Burigi, iendelee kuwa eneo la utalii wa uwindaji.
 
Acha matusi mkuu huko nako kuna watu sio wanyama
Mijitu ya huko ni maskini sana ya roho na chuki wao kwa wao
hatutarudia kosa km hilo na kwa Rais wa sasa hawezi kwenda okota wanyama, au kulazimisha Mabenki, Kiwanja cha mpira, mara Hospital mara VETA eti kwa vile yupo Madarakani akajenge kwana Visiwani.
Ukisikia mtu katoka huko huenda ana asili ya BAHIMA ni wa kukimbia kabisa ni wabinafsi
 
Maswali tu kwa miradi ambayo wengi waliona ni kama ya kijipendekeza kwa mpedwa

1. Je uwanja wa ndege Chato utakuwa na wateja wa kutosha
2. Hotel ya Tanapa wanayojenga ya nyota tatu je watalii watakuja?
3. Uwanja wa mpira mkubwa unaojegwa je kitakuwa na timu?

Wengi tuna wasiwasi na haya. Kuna wilaya nyingi sana nafikiri zina zidi Chato mfano wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, Babati mkoani Manyara ..... na mingineyo ambayo ingetakiwa kuwa na uwanja wa ndege. Inabidi tuangalie miradi
 
Back
Top Bottom