Nini hatma ya Muba na John wa kipindi cha Mkasi?

usipofika chuo kikuu unakuwa na elimu ndogo kumbe??!!
 
Kusrma kweli hakuna kitu kinachi scream superiority complex zaidi ya "i keep planets in orbit" i was like [emoji32] [emoji32] okaaay
 
Heeeee......nimemaliza kusoma debate za Kiranga, Nyani Ngabu na wengineo ........ nashukuru nimewaelewa kiasi (Maana kuna muda mnatumia English kongwe sana nakuwa sielewi)

Sasa ni hivi binafsi naona hii program ya mkasi ilianza vizuri kwa sababu mwanzoni ilihoji sana wasanii na kiukweli ilipendwa, ila sasa walipoanza kuhoji watu mashuhuri kama wanasiasa na wengineo ndipo tulipojua uwezo wao wa kufikiri (ni mdogo sana). Mpaka wanaishiwa maswali ya kuhoji, pia ukiangalia extended version kuna muda wanatumia lugha kali (matusi) ktk maongezi jambo ambalo sio zuri bora wasingeziachia mtandaoni.( Tofauti na hapo walijitahidi kuendesha kipindi chao-Big up kwao)

Kuhusu superiority complex ya mtu hapo nakataa ila najua kwamba mpk mtu anakuwa hivyo ni kwa sababu ni mfatiliaji na anakiamini alichoelewa (hivyo changamoto zinaruhusiwa) ,(halafu msipende wote kufanana mawazo). Tupende kujifunza pia kupitia kwa wengine.

Narudi kwenye Topic: Hawa jamaa (Muba na John) hakuna haja ya kuwawazia na kuwajadili sana....maana nao ni wanaume watatafuta tu namna ya kuishi mjini kama walivyoishi kabla ya mkasi.

Amani iwe nanyi.
 

sorry kwa sele bonge ndo wapi?
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
usipofika chuo kikuu unakuwa na elimu ndogo kumbe??!!
Katika ulichonukuu, wapi pametajwa chuo hapo?

Au unakisia tu kwamba mtu akiongelea elimu anaongelea chuo kikuu?
 
N kwel mkuu maana vipnd ving vya Clouds media wana copy na ku pest Eatv
 
labda alikunok we ujui tu..... Zar ilo mdada
 
Warudi kijijini kuchimba mihogo, alafu wanaonekana wananguvu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…