baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Kama unauza sana Nje kiuchumi hela yako ikishuka thamani ni faida,Kinachotakiwa ni kuuza zaidi nje kuliko kununua kutoka nje.
"Inalazimishwa"...tz hatuwezj lazimisha?Shilingi ya Kenya na ya Tanzania hazina tofauti kwa miaka mitano iliyopita.
Mwezi February Shillingi ya Kenya ilidondoka kwa asilimia karibu 30 na kufanya GDP ya Kenya na Tanzania kuwa na thamani sawa kwa takriban wiki moja.
Shilingi ya Kenya imedondoka sana, ni basi tu inalazimishwa kukaa ilipo.
Mkuu kushuka ama kupanda thamani hela ni panga linalokata pande zote mbili.Ukweli ni kwamba tokea mwaka 2023 shilingi ya tanzania imeporomoka kutoka 2330 mpaka 2730 kwa dola moja ya marekani ukilinganisha na shilingi ya majirani zetu KENYA ambao shilingi yao inazidi kupata nguvu dhidi ya dola ya marekani hasa mwaka huu wa 2024
Nini maoni yako, wapi tunakosea turekebishe nini au tufanye nini kama nchi.
Kweli kabisa, kushuka kwa thamani ya shilingi ya Tanzania dhidi ya dola ya Marekani ni changamoto kubwa kiuchumi. Hali hii inaweza kuwa na athari mbaya kwenye gharama za maisha, biashara, na uwezo wa nchi kuagiza bidhaa za nje. Hapa kuna baadhi ya mambo yanayoweza kuchangia hali hii na hatua ambazo zinaweza kusaidia kurekebisha hali:Ukweli ni kwamba tokea mwaka 2023 shilingi ya tanzania imeporomoka kutoka 2330 mpaka 2730 kwa dola moja ya marekani ukilinganisha na shilingi ya majirani zetu KENYA ambao shilingi yao inazidi kupata nguvu dhidi ya dola ya marekani hasa mwaka huu wa 2024
Nini maoni yako, wapi tunakosea turekebishe nini au tufanye nini kama nchi.
Ukweli ni kwamba tokea mwaka 2023 shilingi ya tanzania imeporomoka kutoka 2330 mpaka 2730 kwa dola moja ya marekani ukilinganisha na shilingi ya majirani zetu KENYA ambao shilingi yao inazidi kupata nguvu dhidi ya dola ya marekani hasa mwaka huu wa 2024
Nini maoni yako, wapi tunakosea turekebishe nini au tufanye nini k
Viongozi waache kukopa na kuiba kwa dhamana ya rasilimali za inchi.Ukweli ni kwamba tokea mwaka 2023 shilingi ya tanzania imeporomoka kutoka 2330 mpaka 2730 kwa dola moja ya marekani ukilinganisha na shilingi ya majirani zetu KENYA ambao shilingi yao inazidi kupata nguvu dhidi ya dola ya marekani hasa mwaka huu wa 2024
Nini maoni yako, wapi tunakosea turekebishe nini au tufanye nini kama nchi.
Alafu ndio mtu anayejinasibu PhD, rais wa uchumi😅Rais wa mawe anakwambia watu wanahudhuria harusi na mitaani kuna gari namba E. Uchumi umeimarika
Tuna PhD uchwara ndo zimekalia maamuzi ya nchi unategemea nini. Hawa watu walifukuzwa na JPM kipindi chake Mama kawarudisha kwenye chungu Cha maamuzi na PhD za mchongo za mwendo kasi. IQ ya Mwigulu, Prof Kitirya Mkumbo na wengine lazima thamani ya shilling ishuke sana. Na mkuu mwenyewe hajui chochote kinachoendelea hawa wa chini yake kufanya madudu.Ukweli ni kwamba tokea mwaka 2023 shilingi ya tanzania imeporomoka kutoka 2330 mpaka 2730 kwa dola moja ya marekani ukilinganisha na shilingi ya majirani zetu KENYA ambao shilingi yao inazidi kupata nguvu dhidi ya dola ya marekani hasa mwaka huu wa 2024
Nini maoni yako, wapi tunakosea turekebishe nini au tufanye nini kama nchi.
Tunaweza, mbona Maghufuli alifanya hivyo?"Inalazimishwa"...tz hatuwezj lazimisha?
Sio kwamba import yetu na miradi mikubwa ndo imelera hii effect?Dollar ikipanda kunakuwa na mfumuko wa Bei kwasababu Tanzania tunahitaji Sana dollar kuliko inavyotuhitaji sisi.
SahihiSio kwamba import yetu na miradi mikubwa ndo imelera hii effect?
Wazeee wakila kitu China i think we need to step up tupunguze import tuwashawish waje wafungue huku viwonder hizi importation zitatuua naskitika kuoba waziri wa fedha akicheka cheka na kuja assupmtion za kis3bg3 uchumi umekua watu wanunua sana vehiclesSahihi
Utawala wa Samia ni Fundisho tosha kwa Nchi Namna ya kuchagua Makamu wa Rais
Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu. Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba 1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi 2. Rais na Makamu wake...www.jamiiforums.com
Ukweli ni kwamba tokea mwaka 2023 shilingi ya tanzania imeporomoka kutoka 2330 mpaka 2730 kwa dola moja ya marekani ukilinganisha na shilingi ya majirani zetu KENYA ambao shilingi yao inazidi kupata nguvu dhidi ya dola ya marekani hasa mwaka huu wa 2024
Nini maoni yako, wapi tunakosea turekebishe nini au tufanye nini kama nchi.