Nini husababisha wivu katika Mapenzi

Upendo ni lazima uambatane na wivu... Ata Mungu wetu ana wivu kwetu kwa sababu anatupenda...! (Kutoka 20:5, 34:14)

Wivu utakaopitiliza ndo unakua matatizo... Either huyo mtu hajiamini au ana matatizo ya akili

Kutokujiamini teh. sa ingine lazima mtu usijiamini ohoooo si kwa mtu anavowindwa na wengine Tehteh
 
Atakayekuja kunipata mimi atafurahi sana i real know how to invest in love halafu nina kipaji cha kudekeza[emoji23] [emoji144]

Wee mshana jr wewe mpaka leo ina maana hawajakupata tyu??
Lol Si kwa neno hilo atakayekuja kukupata
 

Asante kwa ufafanuzi mkuu kwahiyo tusiwe na wivu sana eeee????
 
Wivu ni ugonjwa wa mtu asiyejiamini.Kwaiyo ukiona una wivu na mpenzi wako jua haujiamini kua uko peke yako kwake au huamini kua uko nae.Kwaiyo unajikuta unaweka madhaifu yako kwake.
Aiseeeeh!
 
Hisia za upendo na umiliki ndio husababisha wivu. .wivu ni sehemu ya upendo
 
Huo ni wa kawaida mkuu!!! Utapitiliza pale ambapo utamkataka kua na marafiki wengine wa kiume!!!

And that's what costs us ! hata mimi siwezi kukubali eti awe na marafiki wa kike wengine. asee hapo asee tutaonana wabaya hapo
 
Jealous as a self defense khakhaakhaa siku ukimkamata sasa huwezi kuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…