Nini husababisha wivu katika Mapenzi

Nini husababisha wivu katika Mapenzi

Upendo ni lazima uambatane na wivu... Ata Mungu wetu ana wivu kwetu kwa sababu anatupenda...! (Kutoka 20:5, 34:14)

Wivu utakaopitiliza ndo unakua matatizo... Either huyo mtu hajiamini au ana matatizo ya akili

Kutokujiamini teh. sa ingine lazima mtu usijiamini ohoooo si kwa mtu anavowindwa na wengine Tehteh
 
Chukua mfano unammulika mwenzio machoni na touch maumivu atakavyo sikia ni kutokana na mwanga ulivyo mkali na mwanga mkali unasababiswa na betri zilivyo na nguvu

Sasa hapa nakuchambulia

MWANGA ni kile kinachokuja moyoni baada ya kuona kile unachokipenda au unaempenda kina dalili ya kuchukuliwa

MACHO ni moyo ambao unaumia unapomulikwa na mwanga na maumivu ya macho yanatokana na ukali wa wanga

BETRI ni uzuri wa kile unachokiona mbele yako kulinganisha na wewe ambacho kinatishia kuchukua kile ukipendacho

Sasa combination ya MWANGA, MACHO na BETRI ndio muundo sahihi wa wivu hakuna binadamu ambaye hana wivu ila tunatofautiana ukubwa wa wivu tu
Siku zote tatizo la wivu kupitiliza ni kupelekea magongwa ya moyo hasa BP so Mwanga ukiwa mkali ndivyo macho yanazidi kuumia

Asante kwa ufafanuzi mkuu kwahiyo tusiwe na wivu sana eeee????
 
Wivu ni ugonjwa wa mtu asiyejiamini.Kwaiyo ukiona una wivu na mpenzi wako jua haujiamini kua uko peke yako kwake au huamini kua uko nae.Kwaiyo unajikuta unaweka madhaifu yako kwake.
Aiseeeeh!
 
Huo ni wa kawaida mkuu!!! Utapitiliza pale ambapo utamkataka kua na marafiki wengine wa kiume!!!

And that's what costs us ! hata mimi siwezi kukubali eti awe na marafiki wa kike wengine. asee hapo asee tutaonana wabaya hapo
 
Inategemea na nature ya mtu.
Sio kila mwenye wivu ana mapenzi ya dhati...Mosi Wengine Hawajiamini hawaamini uwepo wa wapendwa wao kwao..Wana hofu ya kusalitiwa.

Wengine wanajifanya wana wivu ili kulinda usaliti wao wasishtukiwe.

All In All, Wivu ni kutokujiamini tu na kumuamini mwenzio.

Ni kujiendekeza tu pasipo sababu.
Jealous as a self defense khakhaakhaa siku ukimkamata sasa huwezi kuamini
 
Back
Top Bottom