Chukua mfano unammulika mwenzio machoni na touch maumivu atakavyo sikia ni kutokana na mwanga ulivyo mkali na mwanga mkali unasababiswa na betri zilivyo na nguvu
Sasa hapa nakuchambulia
MWANGA ni kile kinachokuja moyoni baada ya kuona kile unachokipenda au unaempenda kina dalili ya kuchukuliwa
MACHO ni moyo ambao unaumia unapomulikwa na mwanga na maumivu ya macho yanatokana na ukali wa wanga
BETRI ni uzuri wa kile unachokiona mbele yako kulinganisha na wewe ambacho kinatishia kuchukua kile ukipendacho
Sasa combination ya MWANGA, MACHO na BETRI ndio muundo sahihi wa wivu hakuna binadamu ambaye hana wivu ila tunatofautiana ukubwa wa wivu tu
Siku zote tatizo la wivu kupitiliza ni kupelekea magongwa ya moyo hasa BP so Mwanga ukiwa mkali ndivyo macho yanazidi kuumia