Nini husababisha wivu katika Mapenzi

Nini husababisha wivu katika Mapenzi

Mi nahisi social learning ya mtu husika aliyokulia nayo,ameshazoea kuona watu wakisalitiana au kusikia hicho kitu katika jamii iliyomzunguka.Hayo mambo humfunza kuwa makini na mpe wake ili yasitokee kama yale aliyosikia kwenye jamii yake au kuyaona.Ndio maana huwa na wivu,social learning huchangia pia
 
huwa nawaza vitu ambavyo nafanyiwa na bee kuwa kuna mtu ambaye huwa anafanyiwa roo inauma sana alafu bila sababu sio kwamba ndio anafanya noo ni hisia tu ndio zinakuwa deep kama hayupo around naweza piga cm hata mara 15 kwa siku, niko na wivu kumliko nyegere ila namshuku mungu huenda ningeshakufa kwa presha ila naendelea vizuri kwa sasa
 
Muda mwingine wivu unasababishwa na ile hali ya mtu kupenda kupita kiasi...Anahisi akimuachia hivihivi upendo utapungua..

Inshort, sababu zipo nyingi na inategemea na status ya relationship..
 
Ndio mkuu. Ila mimi nna wivu pia kwa manzi angu ila sio kwamba nadhani anachepuka no, yani sometimes nikiwa nae alafu akawa anaongea na mtu hata ndugu yake au maza ake nakuwa na kawivu fulani yani nataka attention yake yote iwe kwangu yani akiwa na mimi dunia yake isimame na mimi nisimamishe yangu iwe ni mimi na yeye tu

Lol Kumbe nawewe ni victim wa hii kitu mkuu khakhaakhaa mimi wivu wangu ni balaa yani balaa balaa
 
Asilimia 90 ya wanawake wa sasa hawapendi wanaume wenye wivu hii inatokana na ukweli kwamba wanajijua tabia zao......Duniani hakuna mwanaume asiye na wivu Mtaishia kwenye majaba watu washachoka!

Unamaanisha nini hapa mkuu??
 
Muda mwingine wivu unasababishwa na ile hali ya mtu kupenda kupita kiasi...Anahisi akimuachia hivihivi upendo utapungua..

Inshort, sababu zipo nyingi na inategemea na status ya relationship..

Status za relationship kama zipi hizo??
 
me huwa nawashangaa sana wanaume wenzangu wanaokua na wivu kwa wapenzi wao...unakuta lingine kubwa zima na ndevu zake linajiliza eti kisa galfriend kalikimbia...ni utaahira.

I can't imagine this mwee!
Kama nipate kapicha ka kilio cha mwanaume vile hahaha
 
Asilimia 90 ya wanawake wa sasa hawapendi wanaume wenye wivu hii inatokana na ukweli kwamba wanajijua tabia zao......Duniani hakuna mwanaume asiye na wivu Mtaishia kwenye majaba watu washachoka!
Mi napenda mwenye wivu mkuu napenda mimi
 
Back
Top Bottom