Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Katika vitu ambavyo huwa sijawahi kuvielewa ni mtu wa kawaida tena mvuja jasho tu kufunga safari kwenda kwenye maandamano ya timu ya mpira au paredi akitumia muda wake na gharama zake mwenyewe,
Sijawahi kuelewa wanafaidika nini na maandamano kama hayo, michezo kuna namna fulani huwa inawafanya majority ya binadamu wajinga kwa kuwapumbaza.
Sijawahi kuelewa wanafaidika nini na maandamano kama hayo, michezo kuna namna fulani huwa inawafanya majority ya binadamu wajinga kwa kuwapumbaza.