Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Wanajambia mdomoni. Usifanye mchezo na shishaAisee hii inakera sana utakuta mdada amevaa vizuri na anavutia vizuri tu ila ukimsogelea ukitaka kumuongelesha ile anafungua tu mdomo wake anatoa harufu mbaya ya mdomo tena mbaya mpaka inafikia anaharibu hali ya hewa aisee hii sio mara moja yaani kati ya Maslay quuen 10 ninaoongea nao 8 au 9 wanatoa harufu mbaya ya mdomo hasa hasa hawa wa Saluni hawa ndiyo funga kazi wananuka mdomo na vikwapa pia kuna wa maofisi wanatoa harufu mbaya za mdomo mpaka kero hawa vidada poa ndiyo usiseme wana harufu mbaya sana hawa kuanzia mdomo,jasho mpaka kunako kuleeee
We haunuki mdomo mkuu?Pole sana mkuu
Wewe dada si mmojaa wao?Alooo 😀
Eeeeeh kumbe?Wanajambia mdomoni. Usifanye mchezo na shisha
Chukua taka zako uwe unazifunika na urembo zisionekane ndo utaelewa kinachotekea.Aisee hii inakera sana utakuta mdada amevaa vizuri na anavutia vizuri tu ila ukimsogelea ukitaka kumuongelesha ile anafungua tu mdomo wake anatoa harufu mbaya ya mdomo tena mbaya mpaka inafikia anaharibu hali ya hewa aisee hii sio mara moja yaani kati ya Maslay quuen 10 ninaoongea nao 8 au 9 wanatoa harufu mbaya ya mdomo hasa hasa hawa wa Saluni hawa ndiyo funga kazi wananuka mdomo na vikwapa pia kuna wa maofisi wanatoa harufu mbaya za mdomo mpaka kero hawa vidada poa ndiyo usiseme wana harufu mbaya sana hawa kuanzia mdomo,jasho mpaka kunako kuleeee
Kama sio msafi bado ni shida, anyway ngoja nipite zangu!Mweke doggy style hiyo haina kuhemeana ovyo.
NB: sijasoma mada nimecomment kwa mujibu wa heading, muda hautoshi.
Wadada wengi ambao ni watamu kuwala kwa macho ukienda nae field wanakuaga na vipengele vidogo vidogo vingi.Kama sio msafi bado ni shida, anyway ngoja nipite zangu!
Dogy style...!!!! Wewe!!!! Harufu ya mnyeo utavumilia?Mweke doggy style hiyo haina kuhemeana ovyo.
NB: sijasoma mada nimecomment kwa mujibu wa heading, muda hautoshi.