Nini inasababisha wanawake wengi ( slay queen) kutoa harufu mbaya ya mdomo?

kwa mada yako hii inaelekea unapita na wadada wengi
si kwa experience uliyo nayo ya wanuka midomo
 
Wengi wao vipodozi vikali (cream) hupelekea kutoa harufu mbaya na Kali! Asilimia 95% ya watu wanaochubua ngozi zile kemikali huwafanya watoe harufu ya mwili na kinywa!!
Na ambao hawajichubui? Tena wanao ongoza Boda boda kunuka. Nao je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…