Nini inaweza kuwa hatima ya kijana anayewekeza muda na girls

Joined
Dec 13, 2023
Posts
67
Reaction score
238
Wakuu.

Kiukweli hapo nyuma nilikuwa si mtu wa mademu kabisa.

Nimesoma o level na a level fresh , nilipomaliza six , nilijitahidi kutongoza girls angalau namimi nichakate mbususu bila mafanikio.

Sasa nimeenda chuo the same girls na wengine wengi nimejaribu kuwatongoza hawakatai,

Ninawaza nianze rasmi kuwachakata mmoja baada ya mungine, na kutafuta wengine zaidi , dah hii sijui ni roho ya kishetani inanishawishi.

Lakini nikakumbuka kuna jamii ya wanajf, kabla sijaingia kwenye hio dunia ambayo sasa naona nina soko , naombeni mawili matatu wakuu, tafadhali sana.
 
Duuh
 
Janjaro kama uwezi kuzishinda tamaa zako tafuta pisi yako moja inayoeleweka utulie nayo, huko kuruka ruka na wengi kutakugharimu. Totoz za chuo zina mengi sana usisahau kuchukua tahadhari kabla ya kuanza kusema "ningejua".

NB: Hakuna tuzo ya hayo mambo hata upite nao chuo kizima. Kujiheshimu ni muhimu.
 
Usifanye ZINAA,jitunze mwili wako Ni wa thamani Sana.
 
Ausio Waendekeze wakufilisi hiko ki boom😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…