Nini inaweza kuwa hatima ya kijana anayewekeza muda na girls

Nini inaweza kuwa hatima ya kijana anayewekeza muda na girls

Pisi nyingi sahivi zina umeme mzee, Na umeme zinatolea kwa wazee... Nakushauri tu usipige kavu.
 
Janjaro kama uwezi kuzishinda tamaa zako tafuta pisi yako moja inayoeleweka utulie nayo, huko kuruka ruka na wengi kutakugharimu. Totoz za chuo zina mengi sana usisahau kuchukua tahadhari kabla ya kuanza kusema "ningejua".

NB: Hakuna tuzo ya hayo mambo hata upite nao chuo kizima. Kujiheshimu ni muhimu.
Zingatia jibu hili

Ni jibu sahihi sana

Tunaomba Jf watuwekee namna ya ku-rate majibu
 
Wakuu.

Kiukweli hapo nyuma nilikuwa si mtu wa mademu kabisa.

Nimesoma o level na a level fresh , nilipomaliza six , nilijitahidi kutongoza girls angalau namimi nichakate mbususu bila mafanikio.

Sasa nimeenda chuo the same girls na wengine wengi nimejaribu kuwatongoza hawakatai,

Ninawaza nianze rasmi kuwachakata mmoja baada ya mungine, na kutafuta wengine zaidi , dah hii sijui ni roho ya kishetani inanishawishi.

Lakini nikakumbuka kuna jamii ya wanajf, kabla sijaingia kwenye hio dunia ambayo sasa naona nina soko , naombeni mawili matatu wakuu, tafadhali sana.
Now days wanawake ni energy vampires wa wanaume,

unakuta kajamaa kanakamuliwa physically, mentally, economically, socially and saikologically mbaya sana na lakini bado kameng'ang'ana tyuu 🐒
 
Back
Top Bottom