Nini kifanyike ili Watanzania wapunguze na kuacha kujadili mpira 24/7

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,380
Reaction score
68,484
Kuna kasumba kubwa imewaingia watanzania.

Kujadili mpira hasa Simba na Yanga masaa 24 kwa siku 7 kwa wiki hii ni hatari kwa mustakabali wa Taifa.

Tumelala kushabikia Simba na Yanga huku nchi inapigwa tu. Radio zinajadili michezo muda wote.

Nini kifanyike ili kupunguzaa na kufuta uraibu huu wa kujadili mpira muda wote?
IMG_6645.jpeg
 
Tufungue mipaka ya nchi turuhusu wakulima wauze nafaka nje bila kuingiliwa wapate kipato na hapo bei ya vyakula itapanda so watatumia muda mwingi kusaka riziki ili wanunue chakula na stori za mpira zitapungua. Haiwezekani mtu anajero na ana uhakika wa kushiba asubuhi aache kukaa Kijiweni kujadili mpira. Mihogo ya miatatu na chai ya miambili,, sasa hapo Kuna kitu
 
Kuna kasumba kubwa imewaingia watanzania.

Kujadili mpira hasa Simba na Yanga masaa 24 kwa siku 7 kwa wiki hii ni hatari kwa mustakabali wa Taifa.

Tumelala kushabikia Simba na Yanga huku nchi inapigwa tu. Radio zinajadili michezo muda wote.

Nini kifanyike ili kupunguzaa na kufuta uraibu huu wa kujadili mpira muda wote?View attachment 3328995
Hadi pale Tanzania itakapopata Raisi
 
Kuna kasumba kubwa imewaingia watanzania.

Kujadili mpira hasa Simba na Yanga masaa 24 kwa siku 7 kwa wiki hii ni hatari kwa mustakabali wa Taifa.

Tumelala kushabikia Simba na Yanga huku nchi inapigwa tu. Radio zinajadili michezo muda wote.

Nini kifanyike ili kupunguzaa na kufuta uraibu huu wa kujadili mpira muda wote?View attachment 3328995
Mpira ni control project, designed na watawala kuhamisha pressure ya mambo yanayoendelea, kuwatoa huko watz we need replacement kubwa
 
Back
Top Bottom