edon66
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 3,756
- 11,435
Kwakwelii mkuu😀😀
Kwakwelii mkuu😀😀
Naunga hoja mkonoMpira kwasasa ndio mjadala pekee ambao watu wanaweza kujadiliana kwa uhuru bila woga
Tuwaue watangazaji wa vipindi vya michezo na kulipisha kodi kubwa vituo vyao vya habari.Kuna kasumba kubwa imewaingia watanzania.
Kujadili mpira hasa Simba na Yanga masaa 24 kwa siku 7 kwa wiki hii ni hatari kwa mustakabali wa Taifa.
Tumelala kushabikia Simba na Yanga huku nchi inapigwa tu. Radio zinajadili michezo muda wote.
Nini kifanyike ili kupunguzaa na kufuta uraibu huu wa kujadili mpira muda wote?View attachment 3328995
Ndio faraja pekee iliyobaki maanaImekuwa mbaya mno kwa kweli.
Wasiojulikana wajulikane tutaacha jadili mpira 24 h
Fanya ulete ukame wa muda mrefu mana njaa ikitamalaki akili inachangamka.Kuna kasumba kubwa imewaingia watanzania.
Kujadili mpira hasa Simba na Yanga masaa 24 kwa siku 7 kwa wiki hii ni hatari kwa mustakabali wa Taifa.
Tumelala kushabikia Simba na Yanga huku nchi inapigwa tu. Radio zinajadili michezo muda wote.
Nini kifanyike ili kupunguzaa na kufuta uraibu huu wa kujadili mpira muda wote?View attachment 3328995
Kuna kauli ipo hivi "an empty pocket is a good teacher", tafsiri mwenyewe, bahati mbaya Watanzania wengi wameridhika na umaskini wao. Hata uwape "elimu" kiasi gani, utakauka mate na bado watafanya yaleyale.Kuna kasumba kubwa imewaingia watanzania.
Kujadili mpira hasa Simba na Yanga masaa 24 kwa siku 7 kwa wiki hii ni hatari kwa mustakabali wa Taifa.
Tumelala kushabikia Simba na Yanga huku nchi inapigwa tu. Radio zinajadili michezo muda wote.
Nini kifanyike ili kupunguzaa na kufuta uraibu huu wa kujadili mpira muda wote?View attachment 3328995
Inasikitisha sanaKuna kasumba kubwa imewaingia watanzania.