Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,380
- 68,484
Hawajadili kwa maendeleo basi ila kwa Tambo na majigamboMpira kwasasa ndio mjadala pekee ambao watu wanaweza kujadiliana kwa uhuru bila woga
Wameelekezewa huko akili zaoHawajadili kwa maendeleo basi ila kwa Tambo na majigambo
Na hukuWalipoamuaa kupotezeaa elimu Kwa vitendo ,ndipo matokeo km haya yametokea ,elimu ya ss inazalisha zaidi tegemezi kuliko wapambanajii ....
View attachment 3328996
Hadi pale Tanzania itakapopata RaisiKuna kasumba kubwa imewaingia watanzania.
Kujadili mpira hasa Simba na Yanga masaa 24 kwa siku 7 kwa wiki hii ni hatari kwa mustakabali wa Taifa.
Tumelala kushabikia Simba na Yanga huku nchi inapigwa tu. Radio zinajadili michezo muda wote.
Nini kifanyike ili kupunguzaa na kufuta uraibu huu wa kujadili mpira muda wote?View attachment 3328995
Mpira ni control project, designed na watawala kuhamisha pressure ya mambo yanayoendelea, kuwatoa huko watz we need replacement kubwaKuna kasumba kubwa imewaingia watanzania.