Best ukitaka ivyo usioe mke anayefanya kazi maana ukikuta mwanamke anafanya kazi kumuachisha iyo ni kazi nyingine...maana mkija kufulia ataanza kukupa lawama...ivyo kuepuka lawama oa mke weka vitega uchumi vyakuingiza fedha ili mkeo apate muda mzuri wakulea watoto ....sababu ukiwa na biashara binafsi uwezi kukosa wakusimamia biashara wakati ukiendelea kulea watoto ( nazungumzia mwanamke yaan mama) ....maana wazazi wasikuiz wapo bize kutafuta hela kuliko watoto hadi waga najiuliza sasa kama unatafuta halafu unaemtaftia umfundishi au kumuelekeza ajielewe unatafuta izo fedha za nini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli usemayo. Ah mie bwana mambo yakulea watoto hapana maana unaweza lata stress kama za jamaa hapa...tena sie wagegedaji watoto wetu ndio watagegedwa mpaka basi. Hilo wa watoto wacha niwaachie wengine mie niendelee kugegeda warembo tuu