Nini kifanyike kuokoa ndoa kwa sababu ya wanawake kukosa nguvu za kike?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Kumekuwa na kasi kubwa ya wanawake wengi hasa mijini kukosa nguvu za kike, nao moja tu uaanza kulalamika eti amechoka na visingizio kibao mara amechoka,mara anamaumivu mara anamawazo na n.k

Nini kifanyike hawa viumbe wawe kama zamani unalala unaikoboa na bado asubuhi wanadai .

Kazi ya kucheka wanaume hawana nguvu sasa imehamia kwa hawa viumbe kimoja tu hawafikishi ni kulialia tu ,nimezungumza na wadau nao wanashangaa hii hali kuwa kubwa nao wake zao ,mademu na michepuko kulia eti wametosheka kwa nao moja tu

USSR
 
SIo mie ushindwe mie naweza mara 9 hapo ni asubuhi ijioni hadi asubuhi utakavyoo ila uwe na hela ndio itapata stim au ujue kulana vizuri sio nawewe uwe chenga haipendezi . Mi nakupa hadi unakufa kula vizuri na unywe maji
Ila we mnafiki, si uliaga kuwa hautoonekana Jf kwa muda kwakua upo bize na ndoa 🙄
 
Kumekuwa na kasi kubwa ya wanawake wengi hasa mijini kukosa nguvu za kike, nao moja tu uaanza kulalamika eti amechoka na visingizio kibao mara amechoka,mara anamaumivu mara anamawazo na n.k

Nini kifanyike hawa viumbe wawe kama zamani unalala unaikoboa na bado asubuhi wanadai .

Kazi ya kucheka wanaume hawana nguvu sasa imehamia kwa hawa viumbe kimoja tu hawafikishi ni kulialia tu ,nimezungumza na wadau nao wanashangaa hii hali kuwa kubwa nao wake zao ,mademu na michepuko kulia eti wametosheka kwa nao moja tu

USSR
Hili janga linaloitwa upungufu wa nguvu za kiume ukiliangalia kwa undani utagundua kiuhalisia ni upungufu wa nguvu za kike ni vile tu limewekwa kibiashara zaidi na pia jamii ishazoea kumbebesha lawama mwanaume. yaani mwanaume ukichelewa kumwaga una upungufu wa nguvu, ukiwahi kumwaga una upungufu wa nguvu halafu cha kushangaza hakuna official standard ya muda ambao unakua determined kwamba hapa umechelewa au umewahi, huku utaambiwa dakika 5, kule dakika 7, hapa dakika 20, pale nusu saa yaani ni vulugu mechi. Hao wanawake wenyewe tunaobebeshwa mzigo wa kuwafikisha washajichokonoa na dildo, chupa za bia, meza sana p2, deile wanashindia chipsi na soda ambazo zitahatarisha afya za nyeti zao.
 
SIo mie ushindwe mie naweza mara 9 hapo ni asubuhi ijioni hadi asubuhi utakavyoo ila uwe na hela ndio itapata stim au ujue kulana vizuri sio nawewe uwe chenga haipendezi . Mi nakupa hadi unakufa kula vizuri na unywe maji
Nmesismka..kula vizuri kunywa maji ya kutosha
 
SIo mie ushindwe mie naweza mara 9 hapo ni asubuhi ijioni hadi asubuhi utakavyoo ila uwe na hela ndio itapata stim au ujue kulana vizuri sio nawewe uwe chenga haipendezi . Mi nakupa hadi unakufa kula vizuri na unywe maji
Siku zote mwanaume huwa haoi mwanamke anayejua ngono sana na anayependa hela
Utakuta mwanamke, baba yake hana uwezo wa kununua hata TV nchi 75 na wala hana hela lkn akifika mjini anatafuta mwanaume mwenye hela wakati kwao wanatoka kijijini porini. Pesa hazipatikani kirahisi ndiyo maana hata mwanamke anayemtaka mwanaume mwenye hela, hana hela hata yeye.
 
Back
Top Bottom