Nini kifanyike kuokoa ndoa kwa sababu ya wanawake kukosa nguvu za kike?

Nini kifanyike kuokoa ndoa kwa sababu ya wanawake kukosa nguvu za kike?

Kumekuwa na kasi kubwa ya wanawake wengi hasa mijini kukosa nguvu za kike, nao moja tu uaanza kulalamika eti amechoka na visingizio kibao mara amechoka,mara anamaumivu mara anamawazo na n.k

Nini kifanyike hawa viumbe wawe kama zamani unalala unaikoboa na bado asubuhi wanadai .

Kazi ya kucheka wanaume hawana nguvu sasa imehamia kwa hawa viumbe kimoja tu hawafikishi ni kulialia tu ,nimezungumza na wadau nao wanashangaa hii hali kuwa kubwa nao wake zao ,mademu na michepuko kulia eti wametosheka kwa nao moja tu

USSR
Mkuu unakutana na Mwanamke

1. Anadaiwa kodi ya nyumba
2. Madeni ya vikoba vimemkaba
3. Simu imetumbukia ndoo ya maji
4. Watoto wamefukuzwa shule
5. Aliyemzalisha kakimbia

Tuwe na huruma hapo hupati unachotaka. Utamlaumu bure tu.
 
SIo mie ushindwe mie naweza mara 9 hapo ni asubuhi ijioni hadi asubuhi utakavyoo ila uwe na hela ndio itapata stim au ujue kulana vizuri sio nawewe uwe chenga haipendezi . Mi nakupa hadi unakufa kula vizuri na unywe maji
Joannah Missy Gf njooni mumsikie bi harusi mtarajiwa huku 🤣🤣🤣
 
SIo mie ushindwe mie naweza mara 9 hapo ni asubuhi ijioni hadi asubuhi utakavyoo ila uwe na hela ndio itapata stim au ujue kulana vizuri sio nawewe uwe chenga haipendezi . Mi nakupa hadi unakufa kula vizuri na unywe maji
Awweee upo na video tuone 🙄
 
Eeeeh 🤣😢🤣🤣🤣Kwani bado yumo humu?si tulimfanyia send-off huyo....hiyo comment yake Sasa 😂
🤣🤣🤣🤣 kitchen party imemchanganya anataka kuanza kuifanyia kazi miujuzi aliyopewa na kungwi had nje
 
Nyie wenye story nyingi hamnaga kitu

USSR
Kuna mmoja hiyo aliniambiaga siku nikikupa nijipange Nina vurugu naweza kukuvunja mkono...nilipokutanaa nae sasa looh ...yule dada shetani anamuona 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom