Unaijua capetown ina upepo tena mkali mbona haina vumbi uondoa ccm madarakani ndiyo dawaWataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambarana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema inaweza kurekebisika.
Kuna miji kama Mwanza, Tabora, Morogoro, Kibaha, Tanga, Njombe, Mtwara na Lindi, Kigoma, Bukoba na Musoma haina hali kama ya hapa
Karibu tujadili huenda wana mazingira aakaokota mawili ama matatu ya kusaidia kuboresha jiji
Bahati mbaya Tanzania hatuna wataalamu wa kufikiri nini kifanyike kuzuia upepo kwenye makazi, jiji la Mbeya kabla na baada ya Uhuru mkoloni alipanda miti ya kukinga upepo kwenye kila eneo kulingana na unakotokea, tuliikata baada ya uhuru, Mbeya kuna vumbi la poda ya watoto wachanga, ukiikanyaga inaangukia juu ya kiatu chako! Likitimka Majengo hakuonekani.Wataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambarana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema inaweza kurekebisika.
Kuna miji kama Mwanza, Tabora, Morogoro, Kibaha, Tanga, Njombe, Mtwara na Lindi, Kigoma, Bukoba na Musoma haina hali kama ya hapa
Karibu tujadili huenda wana mazingira aakaokota mawili ama matatu ya kusaidia kuboresha jiji
Angalizo:
Tuache mizaha, tujikite kuandika mawazo yenye kujenga
Africa is a continent with diverse climates and landscapes, but there are a few cities known for their windy conditions. Some of the windiest cities in Africa include:Unaijua capetown ina upepo tena mkali mbona haina vumbi uondoa ccm madarakani ndiyo dawa
Huo upepo tena ni mali sana
CDA ilikuwa na bustani ya miche ya miti na maua eneo la Mailimbili kuelekea Msalato, sijui kama bado iko hai, binafsi niliwahi kwenda kununua miche enzi za CDA.Wataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambarana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema inaweza kurekebisika.
Kuna miji kama Mwanza, Tabora, Morogoro, Kibaha, Tanga, Njombe, Mtwara na Lindi, Kigoma, Bukoba na Musoma haina hali kama ya hapa
Karibu tujadili huenda wana mazingira aakaokota mawili ama matatu ya kusaidia kuboresha jiji
Angalizo:
Tuache mizaha, tujikite kuandika mawazo yenye kujenga
Hii imesababisha afya za watu kuathirika pia unakuta kuna msimu watu wanakohoa sanaBahati mbaya Tanzania hatuna wataalamu wa kufikiri nini kifanyike kuzuia upepo kwenye makazi, jiji la Mbeya kabla na baada ya Uhuru mkoloni alipanda miti ya kukinga upepo kwenye kila eneo kulingana na unakotokea, tuliikata baada ya uhuru, Mbeya kuna vumbi la poda ya watoto wachanga, ukiikanyaga inaangukia juu ya kiatu chako! Likitimka Majengo hakuonekani.
Labda mradi ulikosa sustainability, hatuna utamaduni wa kuendeleza mambo tunayoanzisha kwa faida yetu wenyeweCDA ilikuwa na bustani ya miche ya miti na maua eneo la Mailimbili kuelekea Msalato, sijui kama bado iko hai, binafsi niliwahi kwenda kununua miche enzi za CDA.
Namimi unaniruhusu nikopi na kupesti hii riplai yako kama ulivyofanya wewe.Africa is a continent with diverse climates and landscapes, but there are a few cities known for their windy conditions. Some of the windiest cities in Africa include:
- . For the most accurate and up-to-date information on wind conditions, it's best to consult local weather sources or meteorological agencies.
Na hatuna tabia ya kupanda miti na maua majumbani kwetu.Labda mradi ulikosa sustainability, hatuna utamaduni wa kuendeleza mambo tunayoanzisha kwa faida yetu wenyewe