Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Reforestation agenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali iwekeze kwenye umeme wa upepo na sio kulalamikia upepo hiyo ni fursa!Wataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambarana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema inaweza kurekebisika.
Kuna miji kama Mwanza, Tabora, Morogoro, Kibaha, Tanga, Njombe, Mtwara na Lindi, Kigoma, Bukoba na Musoma haina hali kama ya hapa
Karibu tujadili huenda wana mazingira aakaokota mawili ama matatu ya kusaidia kuboresha jiji
Angalizo:
Tuache mizaha, tujikite kuandika mawazo yenye kujenga
Ipandwe miti mingi ndani na nje ya mji.Wataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambarana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema inaweza kurekebisika.
Kuna miji kama Mwanza, Tabora, Morogoro, Kibaha, Tanga, Njombe, Mtwara na Lindi, Kigoma, Bukoba na Musoma haina hali kama ya hapa
Karibu tujadili huenda wana mazingira aakaokota mawili ama matatu ya kusaidia kuboresha jiji
Angalizo:
Tuache mizaha, tujikite kuandika mawazo yenye kujenga
Miti mkuu ndiyo mwisho wa upepo,vumbi,ukame,joto, mpaka vimbunga tunahitaji Sana miti kwenye miji na majiji yetuWataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambatana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema inaweza kurekebishika.
Kuna miji kama Mwanza, Tabora, Morogoro, Kibaha, Tanga, Njombe, Mtwara na Lindi, Kigoma, Bukoba na Musoma haina hali kama ya hapa
Karibu tujadili huenda wana mazingira aakaokota mawili ama matatu ya kusaidia kuboresha jiji
Angalizo:
Tuache mizaha, tujikite kuandika mawazo yenye kujenga
Kwel tungeweka Wind mill for electricity. Leo mgao wa umeme usinge kuwepo.Unaijua capetown ina upepo tena mkali mbona haina vumbi uondoa ccm madarakani ndiyo dawa
Huo upepo tena ni mali sana
Shida n upepo au Vumbi.............?Wataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambatana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema inaweza kurekebishika.
Kuna miji kama Mwanza, Tabora, Morogoro, Kibaha, Tanga, Njombe, Mtwara na Lindi, Kigoma, Bukoba na Musoma haina hali kama ya hapa
Karibu tujadili huenda wana mazingira aakaokota mawili ama matatu ya kusaidia kuboresha jiji
Angalizo:
Tuache mizaha, tujikite kuandika mawazo yenye kujenga
F1 🙌🙌🙌 Ctrl+B 😬Ctrl+V
Ctrl+B