Hahaha wale baunsa wapuuzi sana wanakungalia umevaaje na unafananje kwanzaBahati nzuri ukiwa Counter bambalaga upepo haukufikii kabisa. Ila wale mabounsa wao ni wapumbavu sana wanaangalia mwili badala ya pesa
Si afadhali sasa hivi mkuu!Zamani miaka ya 90vumbi lilikuwa linatoka Kongwa unaliona ukiwa Dodoma mjini,Dawa ni serikali kusisitiza upandaju miti na bili za maji zipungue ili watu wahamasike kumwagilia.Wataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambarana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema inaweza kurekebisika.
Kuna miji kama Mwanza, Tabora, Morogoro, Kibaha, Tanga, Njombe, Mtwara na Lindi, Kigoma, Bukoba na Musoma haina hali kama ya hapa
Karibu tujadili huenda wana mazingira aakaokota mawili ama matatu ya kusaidia kuboresha jiji
Angalizo:
Tuache mizaha, tujikite kuandika mawazo yenye kujenga
Shenzi sana hao jamaaHahaha wale baunsa wapuuzi sana wanakungalia umevaaje na unafananje kwanza
MbinguniNi wapi huko mkuu
Hata hivyo hayo makazi na mitaa yetu wakiwemo mbuzi na watoto watukutu watafyeka yote na mateja watakata kuni.Hii ingesaidia kwa asilimia kubwa
Dodoma,Merriwa(Dar road)Ni wapi huko mkuu
Ngoja tuone!Mama anaupiga mwingi.
Mpaka 2026 upepo na vumbi vitabaki kuwa historia.
Ushauri mzuri.Labda iundwe timu ya wasimamizi kama walivyofanya Moshi miaka ya nyuma
Ipo bado na kuna kipindi walikuwa wanatoa miche 5 bure kabisa ila dodoma ukitaka kibali cha ujenzi kwenye ramani yako ili ipitishwe na kupewa kibali lazima upande mitiCDA ilikuwa na bustani ya miche ya miti na maua eneo la Mailimbili kuelekea Msalato, sijui kama bado iko hai, binafsi niliwahi kwenda kununua miche enzi za CDA.
πππUnaijua capetown ina upepo tena mkali mbona haina vumbi uondoa ccm madarakani ndiyo dawa
Huo upepo tena ni mali sana
Hawashindwi kwa akili zao π π€£π€£π πβοΈπ
Wapo wanasiasa watapeleka hili wazo bungeni