Albert Einstein
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 394
- 582
Umeongea point ya muhimu sana..................
Ikiwa mfumo Wa utawala utabaki kama ulivyo, hata kama atatokea kiongozi Wa upinzani, akapendwa na watanzania wote na CCM ikachukiwa na kutopewa kura na mtanzania yeyote..............
Bado tu CCM atapewa ushindi, dawa ni moja tu kwa sasa, tutumie nguvu zetu zote na wakati wetu wote katika kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI
Kwa jinsi tulivyofika nadhani hatuhitaji tena vyama vya siasa, bora tuingie kwenye mfumo wa nonpartisan, hivi vyama ndivyo vinavyotuchelewesha maendeleo kama taifa. Wanaondelea ni wanachama wa CCM na ukiwa mpinzani utaona joto ya jiwe. Hivyo tufanye mchakato wa kuviondoa vyama vyote vya siasa.Uchaguzi huu umekwisha na Upinzani unapaswa kucheza karata zake vizuri ili kuepusha majanga mengine mwaka 2025. Kelele za kutaka uchaguzi urudiwe hazitozaa matunda sasa ambapo hata maandamano tu ya kupinga Mbowe kupewa kesi nzito yamefail.
Nini kifanyike
1. Wale Wapinzani wawili walioachiwa majimbo waachwe waingie Bungeni wakapiganie haki. Hii haitakuwa kubariki wizi uliofanyika.
2. Viti maalumu kutoka CHADEMA nao waende bungeni. Haki itendeke kwenye kuteua nani aende ili kuepuka kukipasua Chama zaidi.
3. Agenda kuu Bungeni kila mpinzani anaposimama iwe ni kudai KATIBA MPYA/marekebisho makubwa ya Katiba pamoja na kuifumua NEC.
4. Wapinzani waliopo nje ya Bunge watumie platforms zote kuimba wimbo mmoja: KATIBA mpya na NEC iliyo huru.
5. Ikitokea akafa Mbunge, Upinzani uwe umeshadeclare mapema kutokushiriki marudio yoyote ya Uchaguzi kwa NEC hii ya sasa.
6. Warsha mbalimbali ziandaliwe na kuibua mijadara ya umuhimu wa Katiba mpya/muundo wa NEC iliyo huru. Wanaweza kualikwa wadau mbalimbali hasa wale development parners (a.k.a mabeberu) ambao wana mchango mkubwa kwenye bajeti ya Serikali na hivyo wakikohoa kidogo tu Jiwe anaweza kuwasikia na kutii.
7. Wapinzani wajipange na kufungua matawi mpaka kwenye ngazi za kata. Mafunzo yaanze kutolewa mapema ili by 2025 kuwe kuna misingi imara na hata iwe rahisi kupata mawakala bora kuliko ilivyokuwa mwaka huu.
Kususa haitakuwa strategy nzuri. Sanasana itawapa nafasi CCM kujiandaa vizuri mwaka 2025 na wao wakaja na system ya “kura za mapema” kama ilivyokuwa Zanzibar mwaka huu ili waibe kiulaini na kufunga hesabu mapema.
Unamaanisha uchaguzi ulikuwa huru na haki wameshindwa kwa kuwa sera zao hazikueleweka?Wapinzani wajipange pia kwenye sera nzuri zenyemvuto.
sera za haki,wajibu na uhuru wa kutoa maoni,risasi 16 zimefeli pakubwa sana.
Umeshiba damu za watu wewe.Haya
mambo mnayaongea mkiwa wapi, mbona barabarani hatuwaoni?
Tunataka mtoke mgongeshwe mpungue humu JF ili wabaki watu wenye kusimamia maneno yao.
Ni kweli. Watanzania walio wengi wanapenda zaidi kusikia ahadi za ‘vitu’ kabla ya kuambiwa watapewa kwanza haki na ‘maendeleo’.sera za haki,wajibu na uhuru wa kutoa maoni,risasi 16 zimefeli pakubwa sana.
Huu ni muda wa viongozi wote kuacha ujuaji na kusikiliza views kutoka kwa watu wengine nje na ndani ya chama badala ya kushupaza shingo then wachambue mchele na mawe.Ushauri wako hawawezi kuchukua Hata kidogo kifupi Ni chama ambacho akipendi Ushauri wao wanaamini chama Chao Ni kisafi na kinaongozwa na Mungu,Wanachama wake Ni malaika na ndio maana akijawahi kujirekebisha
Maofisa nanihii?🙂Muhimu kutambua mleta mada ni wale maofisa nanihii katika kupima maji.
Unakojolewa mkuu ?Haya
mambo mnayaongea mkiwa wapi, mbona barabarani hatuwaoni?
Tunataka mtoke mgongeshwe mpungue humu JF ili wabaki watu wenye kusimamia maneno yao.
Hilo ndio tatizo lenu hamtaki kupokea maoni ya watu na kufanyia kazi sasa kwa mfano Chadema ni chama,kampuni binafsi au Ngo? mkindelea hivyo kila uchaguzi mtashindwa, mtalalamika mmeibiwa kura na mtadai tume huru, katiba mpya maana ndo kichaka chenu cha kujificha.Umeongea point ya muhimu sana..................
Ikiwa mfumo Wa utawala utabaki kama ulivyo, hata kama atatokea kiongozi Wa upinzani, akapendwa na watanzania wote na CCM ikachukiwa na kutopewa kura na mtanzania yeyote..............
Bado tu CCM atapewa ushindi, dawa ni moja tu kwa sasa, tutumie nguvu zetu zote na wakati wetu wote katika kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI
Kiukwel Bora zitto kuliko Lissu , zitto ana hoja na ni psychological killer , Lissu mropokaji Sana na anaji-expose kirahsi Sana ndo mana anaonekana ni mnafiki na msaliti ....Hii ni point muhimu sana, Mbowe na Lissu wana siasa za kilaghai ambazo hazina uhalisia wala kugusa maisha ya mwananchi wa kawaida, Zitto na Dr Slaa wapo vizuri na ndio walioweza kupandisha upinzani mbele ya umma, kama Mbowe na Lissu wanataka kuendelea na siasa wabaki nyuma wawaaachie vijana kina Mnyika na Zitto wafanye siasa za hoja.
Tumeshasema, uchaguzi umeisha kinachofuata ni kazi tu! Mda wa porojo umeisha kitambo.Uchaguzi huu umekwisha na Upinzani unapaswa kucheza karata zake vizuri ili kuepusha majanga mengine mwaka 2025. Kelele za kutaka uchaguzi urudiwe hazitozaa matunda sasa ambapo hata maandamano tu ya kupinga Mbowe kupewa kesi nzito yamefail.