Nini kifanyike kwenye bongo fleva ya Sasa?

Nini kifanyike kwenye bongo fleva ya Sasa?

Marioo v Jaivaa - pita kule

Hapa walipoimba ( aah wee kulaanina) si wangeimba tu ( aah we qumanina)

In short ngoma nyingi now beat ndo kila kitu but content ni zero kabisa.
 
👇👇👇👇👇👇👇👇
Kama siyo msanii ni rahisi kutokuwaza wasanii wanavyowaza.
Hapo una nyimbo zaidi ya 10,000 lkn utakuta hakuna hata Albamu uliyonunua.
Kumbuka wanahitaji kula, kulisha familia n.k na muziki ndiyo wanaotegemea.
Wasanii wanaimba kulingana na jamii inataka nini. Ni sawa na huko umasaini ukauze suti na zile viatu vya 4 angle. Wangapi watanunua?
Jamii ya sasa imebadilika, inahitaji muziki utakaosifia ngono, pombe na wizi ndiyo utapiga pesa.
Angalia series bora zilizochukua tuzo ni Game of throne, Strike back, Prison break, Breaking bad na Money heist zote zimejaa wizi, madawa ya kulevya, ujambazi na ngono za waziwazi. Hata nikikuambia unitajie series bora za kwako lazima hizi 4 nilizozitaja mojawapo lazima iwepo.
Watu waliojaribu kusimama kwenye nyimbo za ujumbe walisombwa na mafuriko kama Afande sele, Juma Nature na kuna jamaa aliyeimba tokomeza zero wa Arusha.
Nyimbo za sasa hivi na jamii inavyopenda ni ngono, pombe na wizi.
Mimi huwa napenda sana kusikiliza nyimbo za rhumba kama Amigo, mtaa wa saba, dunia tunapita n.k inatumia dk nyingi na ina ujumbe na mdundo safi ila watu huwa wananishangaa sana.
 
Tuliouona muziki wa singeli ukizaliwa,ilikua ni biti yoyote unaipeleka mbele kwa Kasi,singeli Haina utanzania wowote,ni kelele tu
Wewe ndio mtu wa kwanza nimeona umeandika ukweli kuhusu singeli wengine wanashabikia tu oo tuikuze singeli, hata mimi nawashangaa wanaoisifia singeli sijui wanaisifia kwa misingi ipi, je wanasifia kwa sababu ni mziki mzuri au sababu ni ilimradi tu na sisi watanzania tuonekane tuna mziki wetu unaotutambulisha

Sababu ishu siyo tu kuonekana kwamba na sisi tuna mziki wetu unaotutambulisha ishu ni je huo mziki ni mzuri, binafsi mimi sijaona uzuri wowote kwenye singeli yani sidhani kama hata tukijaribu kuukuza huko nje watu wataupenda, maana nao ni makelele kama makelele mengine tu ndio maana haufiki kokote

Na kama ulivyosema singeli ni beat yoyote tu inapelekwa kwa kasi kisha mtu anaingiza maneno yake humo basi, na hata kwenye hizo singeli kwenyewe sijaona cha maana wanachoimba zaidi ya ujinga tu, tena singeli za siku hizi wameishiwa wameanza kuchukua hizi hizi nyimbo zinazohit sasa hivi kisha wanazimix na kuzipeleka kwa kasi inakuwa imeisha hiyo
 
Siyo kweli mkuu,
Sisi maproducer niwauzaj wa production nzima ya nyimbo na wasanii ni wateja wetu,
Unakuta msanii anakuja studio anataka mdundo wa mapiano au afro fusion, ukimuonyesha instrumentals za bongo flava anazikataa au anataka uzimix na piano au genre nyingine ya muziki na ukigoma anaenda kwa producer mwingine ,
Sasa kwa sababu Mimi nataka pesa inabidi tu nimchapie piano moja bovu ili aendelee kuwa mteja wangu,
Kwahiyo mkuu sisi maproducer hatuna makosa Ila tunafanya tu mteja anachotaka kulingana na pesa yake ,
Tofauti nazamani ukienda studio producer anakupa mdundo anaoona wowote unaofaa ,ukitaka fanya usipotaka sepa na hela yako.
Zombi sikutajiiiii. Tajirii,huna baya, ukifa huozi. Napenda sana mix zako za bongopiano.
Unafanyaga kia gan ngoma moja
 
Asante bro
Midundo ni mingi Sana
Vp ushazikiliza mpya ya marioo na Mr nice ?
Please naomba ukaisikilize
Niliona Jana nitaseto kesho kuisikia mana Ina siku kama 3 hiv naiona. Ila nataka kuandaa documentary song moja hiv ya kuielezea umuhimu wa jf kwa jamii. Hapo nahitaji kujua kias ili niandike barua ya fund kwa mchongo fastaaaaaa Maxence Melo
 
Back
Top Bottom