ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Singeli ndani yake khna asili ya uzaramo watu wa PwaniTuliouona muziki wa singeli ukizaliwa,ilikua ni biti yoyote unaipeleka mbele kwa Kasi,singeli Haina utanzania wowote,ni kelele tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Singeli ndani yake khna asili ya uzaramo watu wa PwaniTuliouona muziki wa singeli ukizaliwa,ilikua ni biti yoyote unaipeleka mbele kwa Kasi,singeli Haina utanzania wowote,ni kelele tu
Hakuna,mi naujua huo muziki kabla hata haujaanza kupigwa redioniSingeli ndani yake khna asili ya uzaramo watu wa Pwani
Samahn bro kama ntakua nmekukwaza kwa kuuliza...hivi wewe ni zombie kweli?....yani We Zombieeee!!....simba la masimba dangote kabisaa ndo wewe???Sawa mkuu
Akikujibu nitag🤣Samahn bro kama ntakua nmekukwaza kwa kuuliza...hivi wewe ni zombie kweli?....yani We Zombieeee!!....simba la masimba dangote kabisaa ndo wewe???
Average studio time fee kwa maproducer maarufu wa class yako ni shilingi ngapi?Hawana hela ya studio time haoo
UNAVYOJITETEA UTAFIKIRI NI S2KIZZY KWELI!!😂🤣🤣🤣Mimi as producer nafanya msanii anavyotaka
Msanii anafanya fans wake wanavyotaka
Kama siyo msanii ni rahisi kutokuwaza wasanii wanavyowaza.👇👇👇👇👇👇👇👇
Wewe ndio mtu wa kwanza nimeona umeandika ukweli kuhusu singeli wengine wanashabikia tu oo tuikuze singeli, hata mimi nawashangaa wanaoisifia singeli sijui wanaisifia kwa misingi ipi, je wanasifia kwa sababu ni mziki mzuri au sababu ni ilimradi tu na sisi watanzania tuonekane tuna mziki wetu unaotutambulishaTuliouona muziki wa singeli ukizaliwa,ilikua ni biti yoyote unaipeleka mbele kwa Kasi,singeli Haina utanzania wowote,ni kelele tu
Endelea kukariri kama unavyokariri kwamba kila aliopo jamii ni id za uongo ,au JamiiForums haituhusu wasaniiUNAVYOJITETEA UTAFIKIRI NI S2KIZZY KWELI!!😂🤣🤣🤣
Kwa majibu haya! Wewe ni Yahaya kama yahaya wengine hatujui unaishi wapii😂Endelea kukariri kama unavyokariri kwamba kila aliopo jamii ni id za uongo ,au JamiiForums haituhusu wasanii
Zombi sikutajiiiii. Tajirii,huna baya, ukifa huozi. Napenda sana mix zako za bongopiano.Siyo kweli mkuu,
Sisi maproducer niwauzaj wa production nzima ya nyimbo na wasanii ni wateja wetu,
Unakuta msanii anakuja studio anataka mdundo wa mapiano au afro fusion, ukimuonyesha instrumentals za bongo flava anazikataa au anataka uzimix na piano au genre nyingine ya muziki na ukigoma anaenda kwa producer mwingine ,
Sasa kwa sababu Mimi nataka pesa inabidi tu nimchapie piano moja bovu ili aendelee kuwa mteja wangu,
Kwahiyo mkuu sisi maproducer hatuna makosa Ila tunafanya tu mteja anachotaka kulingana na pesa yake ,
Tofauti nazamani ukienda studio producer anakupa mdundo anaoona wowote unaofaa ,ukitaka fanya usipotaka sepa na hela yako.
Ndy bro karibu na jiskie kuuliza chochote nitakujibu.Samahn bro kama ntakua nmekukwaza kwa kuuliza...hivi wewe ni zombie kweli?....yani We Zombieeee!!....simba la masimba dangote kabisaa ndo wewe???
Asante broZombi sikutajiiiii. Tajirii,huna baya, ukifa huozi. Napenda sana mix zako za bongopiano.
Unafanyaga kia gan ngoma moja
Niliona Jana nitaseto kesho kuisikia mana Ina siku kama 3 hiv naiona. Ila nataka kuandaa documentary song moja hiv ya kuielezea umuhimu wa jf kwa jamii. Hapo nahitaji kujua kias ili niandike barua ya fund kwa mchongo fastaaaaaa Maxence MeloAsante bro
Midundo ni mingi Sana
Vp ushazikiliza mpya ya marioo na Mr nice ?
Please naomba ukaisikilize
Million 4Average studio time fee kwa maproducer maarufu wa class yako ni shilingi ngapi?
Je, bei zinatofautiana kwa wasanii wakubwa na ma-underground?
Ni dmNiliona Jana nitaseto kesho kuisikia mana Ina siku kama 3 hiv naiona. Ila nataka kuandaa documentary song moja hiv ya kuielezea umuhimu wa jf kwa jamii. Hapo nahitaji kujua kias ili niandike barua ya fund kwa mchongo fastaaaaaa Maxence Melo
Oy bro shukrani sanaWe zombie weeeh