Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Kweli wewe ni Meneja Wa Makampuni aise!Ili kujilinda Dhidi ya Wafanyakazi Wasioaminika fanya yafuatayo:
1. Fanya Uajiri wa Kiuchunguzi (Due Diligence)
Usikurupuke kumpa mtu kazi kwa sababu kaonekana mpole au amesema ana shida. Fanya yafuatayo kabla hujamkabidhi chochote:
Pata taarifa zake kamili – jina halisi, namba ya simu, kitambulisho, mahali anapoishi (na uthibitisho).
Wasiliana na referees alioweka. Uliza kama walishawahi kumwajiri au kumjua kimaadili.
Angalia historia yake ya kazi – je, alishawahi kufukuzwa? Kwa nini?
Ikiwezekana, andika mkataba wa dhamana na mtu mwingine (mfano mzazi, ndugu au rafiki wa karibu) atakayewajibika naye endapo atafanya uharibifu.
2. Tumia Mikataba ya Ajira ya Maandishi
Mkataishe kila mfanyakazi kwa maandishi. Hii ni kinga yako ya kwanza.
Andika majukumu, muda wa kazi, mshahara, na adhabu endapo kutakuwa na uvunjifu wa maadili.
Jumuisha kipengele cha "fidia ya uharibifu" endapo mfanyakazi ataiba au kusababisha hasara.
Hakikisha mkataba unasainiwa mbele ya shahidi na unapewa nakala yake na yeye.
4. Tengeneza Mfumo wa Ufuatiliaji Kazini
Usiache kazi au biashara mikononi mwa mtu bila mfumo wa kudhibiti. Fanya hivi:
Weka daftari la kila bidhaa au mapato – kila anachouza au kukusanya kiandikwe na kusainiwa.
Tumia receipts au POS (kama unaweza) – ili kuwe na kumbukumbu ya kila malipo.
Fanya ukaguzi wa ghafla – hata usiku au siku ambazo hafahamu.
Kama ni usafirishaji au pikipiki, wekwa GPS tracker.
Kama biashara yako ina uwezo, weka CCTV, hata kama ni kamera moja tu kwa duka au kaunta.
Watu ni wa kuaminiwa pale tu ambapo kuna mfumo wa kuwawajibisha.
Uaminifu bila ufuatiliaji ni mwaliko wa wizi.
Lazima biashara iwe na kinga, sio hisia tu.
Kukosekana kwa Uaminifu ni janga kubwa Sana linaloikabili dunia kwa sasa.Kijana akija kuomba kazi anakuja kwa unyenyekevu mkubwa tena akiwa kaweka mikono nyuma utafikiri ana staha na nidhamu ya kweli🙆♂️, kumbe hiyo ni zuga tu.
Sasa itokee umwamini umpe kazi ndo segedansi zinapoanza. Hakuna picha utakaa usiione. Kama alitakuwa awe anafanya marejesho atakuletea zile siku za mwanzo na pesa utaiona ila atapunguza kadiri siku zinavoenda na mwishowe haleti kabisa au pengine hata yeye usimuone tena!.
Kama ulimpa chombo mfano pikipiki usipokaa sawa anaiuza na kukuletea lost report ya mchongo ya polisi. Kama umemuamini kwenye biashara mfano restaurant au baa na zingine kama hizo mwendo ni huohuo anakuaminisha pale mwanzoni ili ukae kwenye kilengeo baada ya hapo unapigwa tukio zito mtu anapotea humuoni tena japo wengine huwa wanarudi bdae wakishamaliza salio na kupigwa juakali huko waliko.
Cha ajabu watu hawa wanafanya haya bila hata kujali kama biashara inaweza kufilisika na hatimaye kufa kabisa kwa hayo anayofanya na yeye akapoteza kazi mazima.
Ni hivi wakuu wizi umekuwepo siku zote toka enzi izo ndomaana hata ilisemwa "ukila na kipofu...." hapo mtamalizia wenyewe. Sio kama wazee wenu walikuwa hawaibi laahasha, maana sio malaika. watu wamekuwa wakiiba kwa dahari ya miaka ila sio kwa staili hii ya sasa. Iba kwa akili usiue kampuni.
Tukumbuke kuna kesho ya kuishi na kamwe hauwezi kuyamaliza matatizo kwa siku moja. Kama unaiba tumia akili. Sio unaiba hadi biashara inakufa hlf kesho unaanza kulialia ajira hazipo. Tulinde na kuziheshimu sehemu zetu za kazi maana ndo zinazotupatia kesho yetu.
ni kweli wanaokwiba sio wote japo ndio walio wengi ukilinganisha na wenye uaminifuWengine hatukwibi mkuu, sisi ni waaminifu kama mwajiri analipa kwa uaminifu na hana maneno machafu.
Inasikitisha sana...Trust no one
Kaa kimkakati
Mkuu sasa hivi tuna kizazi kitumbaffu kabisa! Mawazo yote ni kwenye kuiba tu, hili janga nikafikri ni kwetu tu kumbe nchi nzima? Asante Samia kutuletea janga la wizi!Kijana akija kuomba kazi anakuja kwa unyenyekevu mkubwa tena akiwa kaweka mikono nyuma utafikiri ana staha na nidhamu ya kweli🙆♂️, kumbe hiyo ni zuga tu.
Sasa itokee umwamini umpe kazi ndo segedansi zinapoanza. Hakuna picha utakaa usiione. Kama alitakuwa awe anafanya marejesho atakuletea zile siku za mwanzo na pesa utaiona ila atapunguza kadiri siku zinavoenda na mwishowe haleti kabisa au pengine hata yeye usimuone tena!.
Kama ulimpa chombo mfano pikipiki usipokaa sawa anaiuza na kukuletea lost report ya mchongo ya polisi. Kama umemuamini kwenye biashara mfano restaurant au baa na zingine kama hizo mwendo ni huohuo anakuaminisha pale mwanzoni ili ukae kwenye kilengeo baada ya hapo unapigwa tukio zito mtu anapotea humuoni tena japo wengine huwa wanarudi bdae wakishamaliza salio na kupigwa juakali huko waliko.
Cha ajabu watu hawa wanafanya haya bila hata kujali kama biashara inaweza kufilisika na hatimaye kufa kabisa kwa hayo anayofanya na yeye akapoteza kazi mazima.
Ni hivi wakuu wizi umekuwepo siku zote toka enzi izo ndomaana hata ilisemwa "ukila na kipofu...." hapo mtamalizia wenyewe. Sio kama wazee wenu walikuwa hawaibi laahasha, maana sio malaika. watu wamekuwa wakiiba kwa dahari ya miaka ila sio kwa staili hii ya sasa. Iba kwa akili usiue kampuni.
Tukumbuke kuna kesho ya kuishi na kamwe hauwezi kuyamaliza matatizo kwa siku moja. Kama unaiba tumia akili. Sio unaiba hadi biashara inakufa hlf kesho unaanza kulialia ajira hazipo. Tulinde na kuziheshimu sehemu zetu za kazi maana ndo zinazotupatia kesho yetu.
Mtu kapata kazi leo, chap anataka aanze kusukuma ndinga ya maana apo lazma uishie kuwa mwizi tuhilo ni janga la kitaifa, Wabongo na waafrika kiujumla ni wezi sana. Tunapupa ya mafanikio ya haraka
Chanzo umaskini unaochangiwa na sera mbovu za kile chama chakavu,kama siyo kila mtu angekuwa na maisha ya staha na yenye maadili na uzalendo.Kijana akija kuomba kazi anakuja kwa unyenyekevu mkubwa tena akiwa kaweka mikono nyuma utafikiri ana staha na nidhamu ya kweli🙆♂️, kumbe hiyo ni zuga tu.
Sasa itokee umwamini umpe kazi ndo segedansi zinapoanza. Hakuna picha utakaa usiione. Kama alitakuwa awe anafanya marejesho atakuletea zile siku za mwanzo na pesa utaiona ila atapunguza kadiri siku zinavoenda na mwishowe haleti kabisa au pengine hata yeye usimuone tena!.
Kama ulimpa chombo mfano pikipiki usipokaa sawa anaiuza na kukuletea lost report ya mchongo ya polisi. Kama umemuamini kwenye biashara mfano restaurant au baa na zingine kama hizo mwendo ni huohuo anakuaminisha pale mwanzoni ili ukae kwenye kilengeo baada ya hapo unapigwa tukio zito mtu anapotea humuoni tena japo wengine huwa wanarudi bdae wakishamaliza salio na kupigwa juakali huko waliko.
Cha ajabu watu hawa wanafanya haya bila hata kujali kama biashara inaweza kufilisika na hatimaye kufa kabisa kwa hayo anayofanya na yeye akapoteza kazi mazima.
Ni hivi wakuu wizi umekuwepo siku zote toka enzi izo ndomaana hata ilisemwa "ukila na kipofu...." hapo mtamalizia wenyewe. Sio kama wazee wenu walikuwa hawaibi laahasha, maana sio malaika. watu wamekuwa wakiiba kwa dahari ya miaka ila sio kwa staili hii ya sasa. Iba kwa akili usiue kampuni.
Tukumbuke kuna kesho ya kuishi na kamwe hauwezi kuyamaliza matatizo kwa siku moja. Kama unaiba tumia akili. Sio unaiba hadi biashara inakufa hlf kesho unaanza kulialia ajira hazipo. Tulinde na kuziheshimu sehemu zetu za kazi maana ndo zinazotupatia kesho yetu.
Sasa ona akili ya kindezi kama hio. apo duka likifilisika likafungwa ao madogo wote wanarudi kwenye mbao ndefu hawana kazi. yani kumbaaff kabisaAkadai mwanae wa kumzaa anashirikiana na mfanyakazi kukwiba dukani
kiongozi lini tumeshawahi kuwa matajiri?Chanzo umaskini