Nini kifanyike tatizo la vijana kukwiba wanapoaminiwa kwenye biashara?

Nini kifanyike tatizo la vijana kukwiba wanapoaminiwa kwenye biashara?

Unaanzisha goli unawaamini vijana unawaacha apo wasimamie mambo yaende. lahaula...unashangaa baada ya wiki chache hakuna kinachoingia. ukipigiwa simu ujue kuna ela inatakiwa kulipia gharama flani kama umeme n.k. kama bosi inabidi utoe ela mfukoni ili goli lisife kumbe wenzio ela wanapata wanajilipa apoapo yani wewe unapambana goli lisimame wenzio wanapambana goli life sasa huu si ufala
 
Ukiona MTU anakuwa mwizi ujue Ana tatizo la akili linamsumbua .

Kwakuwa MTU akikupa Kazi then unamuibia ujue shida is ur mind
 
Kuiba au udanganyifu katika majukumu mtu anapewa katika ajira imekuwa ni tatizo sugu. **** mambo yanayochangia kwa tabia hii, nayo yanaweza kusababishwa na malezi mabovu, tamaa, ujira mdogo.
Ni vizuri kuwa makini wakati wa kuajiri, kwa kuangalia nidhamu ya mtu anayetakiwa kuajiriwa na kumlipa ujira unaokidhi mahitaji yake. Vile vile kuwepo na ufutiliaji wa mara kwa mara ili kupunguza ukumbwa wa tatizo au kuondoa kabisa tatizo hili.
 
Back
Top Bottom