Kuiba au udanganyifu katika majukumu mtu anapewa katika ajira imekuwa ni tatizo sugu. **** mambo yanayochangia kwa tabia hii, nayo yanaweza kusababishwa na malezi mabovu, tamaa, ujira mdogo.
Ni vizuri kuwa makini wakati wa kuajiri, kwa kuangalia nidhamu ya mtu anayetakiwa kuajiriwa na kumlipa ujira unaokidhi mahitaji yake. Vile vile kuwepo na ufutiliaji wa mara kwa mara ili kupunguza ukumbwa wa tatizo au kuondoa kabisa tatizo hili.