Nini kilikua chanzo cha ugomvi wa Afande Sele na O Ten?

11. Mkuu wa Mkoa (Regional Commissioner)
 
alimuongezea mstali mwingine " bamdogo acha upambe kujifanya una benzi wakati kwenu jumba la udongo duu!!" apo afande alimdiss tena o ten ambaye kwenye albamu yake ya kwanza amepiga picha na gari aina ya benzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu ilikuwa vijana tangulia kuimba mimi kamanda namalizia kwa kufunga kazi kwenye nyimbo zote
Sio zote.

Mfano: Komaa Nao

Verse ya kwanza kabisa ameanza GK.

Verse zimepangana hivi:
Verse 1:
  • GK.
  • Mwana FA
  • A.Y

Verse 2:
  • (Simjui)
  • (Simjui)
  • Snaire.
 
Kama hunijui naitwa philipo nyandindi na adui yangu mkubwa ni selemani msindi

Nimekulia muhimbili lakini nilikua naenda sana maskani East coast, tulikua proud sana na ECT. Hakukua na beef la maana sana. Ni michano tu
Kama ilivyokua kwa east coast yote na tmk. Wala haikua bifu ya maana japo east coast ndio walianza
 
mkuu umekulia kota za madokta?
 
na cha ajabu zaidi wimbo uliompa ushindi Afande Sele ni darubini jali ambao kamshirikisha Prof Jay na Solo Thang mwenyewe
 
Na mimi kuna mwanangu mmoja mtoto wa mjini, Manzese kitambo,tulikuwa tunamuitaga 0-ten mpaka leo jina ilo alilibeba
 

Hapo Namba 4 na 8 ndio ngoma zangu haswaa
 
Kuna Sheria ya Faragha imepitishwa Juzi!
Tutafungwa! O Ten mara kadhaa anaonekana kwao Morogoro - Madizini Kilakala!
Kuna mwamba nliskul nae mji kasoro,
Alikuwa akijiita SLIM,
🤣
 
Hiyo ya kutaja taja majina alikua anamponda bwana misosi na ngoma yake ya nitoke vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…