Nini kilikua chanzo cha ugomvi wa Afande Sele na O Ten?

Mkuu umeua
Walikuja kuhenyeshwa na JW sababu ya zile gwanda katika Ile video ya ama zangu ama zao
 
Afande aliwapinda kwenye Ile nyimbo kua wanajisifu wanaishi ushuani wakati kwao hamna kitu
 
Mkuu umeua
Walikuja kuhenyeshwa na JW sababu ya zile gwanda katika Ile video ya ama zangu ama zao
Hawakudakwa.
Kuna wimbo nadhani ule unaitwa ITIKADI
Kuna dogo aliimba"" Wana Usalama wananisaka kunitarget,hata Waitara anafahamu kuwa mi ni Most wanted"
Waitara alikuwa Mkuu wa Majeshi
Yaani Kama hapa juzi Kati msanii aimbe anasakwa na Mabeyo
Au Bilnas aimbe anasakwa na Huyu CDF wa Sasa.
I miss those days when Music was Music and Bars were Bars
 
Kama ni uongo kaimba AFANDE SELE ktk DARUBINI KALI, Mm nimemQuote Afande! Uwe na adabu kwa Mtu ambaye hujui anasomekaje ktk phone book ya Bi Mkubwa ako
Nadhani kutaja majina ilikuwa diss ya GK kwa ngoma aliyoimba na Pauline Zongo. Humo ndipo alitaja tu majina bila vina.
 
Ule wimbo ulijaa matusi, utasikia.....nimeshachoka kupiga puchu.....aaaghgggg, ptuu
Enzi hizo maadili ya mtanzania chini ya rais shipavu asiyependa mzaha B. W. Mkapa

Kuna msanii aliwahi kuimba "wanawake wazuriwazuri wameolewa, yamebaki manunga yembe yanahangaika." Haukukaa hata wiki ukarungiwa.

Kikwete amechangia sana kuharakisha mmomonyoko wa maadili kupitia ukuzaji wa sanaa. Wasanii wa nchi hii wana taji lao motoni (kama upo.)
 
Kiu (yajibu), Uwazi, ijumaa na ijumaa wikenda, risasi. Yote ni part ya GP chini ya shigongo
 
Sio zote.

Mfano: Komaa Nao

Verse ya kwanza kabisa ameanza GK.

Verse zimepangana hivi:
Verse 1:
  • GK.
  • Mwana FA
  • A.Y

Verse 2:
  • (Simjui)
  • (Simjui)
  • Snaire.
Hapo kuna Sharif, Juma na Lady slay, hao vijana GK amepiga nao ngoma kadhaa za ECT, kama komaa nao, wamejichanganya, itikadi na ngoma ya mwisho kabisa ikiwa ni Piga manati ambayo ilitoka kama Dis track baada ya kundi la TMK Family kuvunjika, na wale jamaa wa TMK halisi Kuna na ngoma ya ndege Tunduni, na alikuwa akiwaandaa kama new generation ya ECT but unfortunately things went wrong hasa baada ya FA na AY kujitoa rasmi.
East Coast Team ndio kundi langu pendwa by then

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Umezingua unawezaje kutaka Ngoma za O ten bila kuitaja MKUU WA MKOA...
Hilo Pini lilikua n balaa...

Mi ni mkuu wa mkoa
Niko juu za meya
Mi kama Baba mwenye familia nalea
Mi kama king Niko juu zaidi ya queen.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…