Nini kilikua chanzo cha ugomvi wa Afande Sele na O Ten?

Umezingua unawezaje kutaka Ngoma za O ten bila kuitaja MKUU WA MKOA...
Hilo Pini lilikua n balaa...

Mi ni mkuu wa mkoa
Niko juu za meya
Mi kama Baba mwenye familia nalea
Mi kama king Niko juu zaidi ya queen.....
Haahaaa 😊🤓🤓🤓😊😆
 
baba abdul futa hapo.

anasema baba tundi/....amweka i kupata urari wa vina badala ya tunda.
 
O tena anaa kola hill....

kaimba"ukija moro kola hill ndo nilipo".

japo alikaa hapo magorofa ya mchikini hapo kama unaenda madizini.

kilakala kwa Wenger juu kule ndipo mdogo wake Atupele,ndugu zake wakina Lazaro,Gilbert r.i.p wanaishi.

ukienda juu kabisa kule kilakala ndo kwa mama ake Mc Koba.
 
Kama ni uongo kaimba AFANDE SELE ktk DARUBINI KALI, Mm nimemQuote Afande! Uwe na adabu kwa Mtu ambaye hujui anasomekaje ktk phone book ya Bi Mkubwa ako
hapo Afande alimdiss Bwana Misosi,Misosi ntoke vipi!
mule ndo kataja watu kibao!

watu ya watu walijua kamtaja o ten lakini ilikuwa diss kwa mtoto wa kitanga.

'unataja taja tu majina nyimbo nzima tena kwa mistari isiyo na vina'
 
Ahsante kwa maelezo mkuu, daah Wengine tulikua ndanindani huko.
Vipi Oten sasa hivi yupo wapi??
Naomba uniwekee picha zake tafadhali za sasa na zamani
O ten yupo moro hata kwenye party ya mtoto wa afande tunda kugraduate SUA alikuwepo na wana wa sele kibao
kama Twaha Kiduku,Ibrah Nyange kaka ake dayna nyange mafungu ya nyanya,O ten mwenyewe,nk

afande alitupia hii instagram!
 
hapo Afande alimdiss Bwana Misosi,Misosi ntoke vipi!
mule ndo kataja watu kibao!

watu wengi walijua kamtaja o ten lakini ilikuwa diss kwa mtoto wa kitanga.

'unataja taja tu majina nyimbo nzima tena kwa mistari isiyo na vina'
Ila vile vile kuna ngoma moja ya Gk nae anataja taja majina ya djs na watu wengine maarufu
 
wakati huo gk mwenyewe baba ake mkubwa jeshini ndo maana hata ishu ya magwanda aliimaliza.
 
Wa kutaja majina mm najua afande alimchana bwana misosi kama utakumbuka bwana misosi ndiye kwenye nyimbo yake ya nitoke vipi anataja taja majina tu ya watu
Kama ni uongo kaimba AFANDE SELE ktk DARUBINI KALI, Mm nimemQuote Afande! Uwe na adabu kwa Mtu ambaye hujui anasomekaje ktk phone book ya Bi Mkubwa ako
 
endorsement ya Sugu nayo ilichangia sana. Aliingia na darubini akawa anamcheki Afande wakati anapiga darubini kali. Jay aliingia kwenye wheel chair na ile Usinitenge. kwa kweli Jay alistahili.
 
Enzi hizo wanavaa ma rain coat. Lile beat la nicheki nalielewa hadi leo. Ila nezi hizo east coast nlikuwa nawaona kama mbele chini ya kama gwamaka... Mimi nadhanj Oten ndiye aliyenunua ugomvi tu kwa kutafuta bifu kwa afande ili atengeneze story
Walikuwa wanavaa maturubai ya nang'aa wanaita leather. Na mtaani yalifika. Nashukruru sikuwa mtu wa fasheni, na hata leo, mambo mengine ni aibu sana.
 
Nyimbo za sele ni mafumbo ya kumdisi mtu japo ataji mtu.ila kuna baadhi ya wasanii wanajishtukiaga na ukishajiistukia lazma uanzishe bifu nae kama wimbo wa dunia ina mambo kawadisi sana wasanii kimafumbo ndo mana 010 kajishtukia
 
baada ya kushinda Ufalme wa Rhymes
Afande akazalisha maadui hawa:

1. Soggy
2. Solo Thang(Ulamaa) - mpaka leo hii bifu bado lipo
3. O-Ten
4. Madee
5. wengineo
Mwana FA
Prof Jay
Lakini hawa wawili walikua na akili kumliko, Prof hakuruhusu hayo mazingira bifu ambayo Sele alikua akiyatengeneza, alipohojiwa Mwana FA alisema anachokifanya Sele ni sawa na kukunja ngumi wakati ugomvi umeshaisha?
 
Analiimbia jimama lakitanga et kiunon linamishanga, mara oooh duly zima taa uje kupata.... Shubamit
 

Mhhh huu mstari wa "nyimbo nzima unatajataja majina tu"nilidhanigi unamrenga fred saganda na ile masterpiece ya ni namna gani[emoji23][emoji23],maana ilitoka 2001.

Ah kweli asiejua hili ana lile.
 
Wimbo gani O ten alitaja taja majina bila vina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…