Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Ushapata mwingine?
Nilipata ila aliniacha alipo enda chuo, nikapa mwingne tena nilipo amua kurudi kusoma(nikiwa mwaka wa pili nasaka kadiploma ) huyu niliamin nimepata ila mwisho wa siku tumerudi kitaani akaniambia anaenda kwao kumbe anaenda kuolewa nikaja ambiwa na rafiki zake kuwa kaisha olewa na kazalishwa tayari na hayupo kwao kama alivyo kuwa ananiambia bali yupo kwa mme wake(mji huo huo niliopo) na no ya sim kabadiriasha. Nikafuta kila kitu chake kuanzia namba za ndugu na rafiki zake. So now nipo single sienjoy ila najitaidi kufocus kwenye kutafta maisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaa dah kmmk walahi [emoji1787] [emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tofauti Yako na yangu ,we upo hadi kwenye volleyball, mm furaha yangu mpira tu kwengine tunafanana
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Duh asee unamoyo sana mm mtu akionesh dalil nisizozielew nawah kujiengua nakufuta Namba yake
 
Akome kukurupuka. Sipendi mabinti wanaojifanya wapo haraka kufanya maamuzi as if wao hawana akili ya kutafakari mara mbili.
Huenda aliumia sana nahakuona unaafuu wa maumiv ikambidi aanze uhusiano mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…