Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Uyo aliniuliza ambacho sijasema Mimi.

Kauliza elfu 50, nmeongelea sh.50

Can u see the difference brother?[emoji848]
 
Nakumbuka nilikua form one nilimpendaga mtoto huyo na yeye alinipenda sana ila mwenzangu alikua na tamaa sana tangu kipind hicho, nakumbuka alikua anatoka na mtu mzima umri wa baba ake alikua anamhonga nilikuja kugundua nikaachana nae niliumia sana

Ila badaa ya miaka tulikuja kukutana kila mtu ana ishu zake maIsha yakaendelea tukawa marafik wa kawaida tupo mikoa tofauti.. pamoja na uzuri wake ajaolewa kaishia kuzalishwa tu kawa na adabu

Ila naamini mpka leo sijawahi penda kama kipind hicho nilivompendaga yule binti ila alinifundisha nisiwaamini wanawake na mpka leo nishakuwa mtu mzima sijawahi kuumizwa na mpuuzi wa kike kisa mapenz na haitotokea tena
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ndo vizuri tunagomba yanaisha[emoji23]kuliko kudanganywa
Women are most dangerous to a man who sees them as innocent and harmless

When a man is not deluded enough to think this he can not only outmaneuver her but outclass her at her own game

Lot of this delusion is result of social brainwashing

Our ancestors weren't this stupid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifunze kuandika vizuri mkuu.
 
Nilimpenda huyu dada nikiwa form one nikamtongoza akakubali.

Ilikuwa tunakaribia kufunga shule kwa hiyo nikampa namba ya bi mkubwa ili awe anawasiliana na mimi maana sikuwa na simu kipindi hicho.

Siku moja kipindi cha likizo alinipigia akapokea bi mkubwa. Kumuuliza yeye ni nani binti maneno hana. Bi mkubwa alimfokea sana kuwa eti binti huyo mdogo "anamuharibia" mwanaye.

Simu ikakatwa na tangu siku hiyo binti huyo hakunitafuta tena na tulipofungua shule akajifanya kama hanijui. Aisee niliumia sana. Nakumbuka hata shule nilikuwa sitaki [emoji1787][emoji1787] ikabidi nitafutiwe mwanasaikolojia anishauri ili nikae sawa. Yes that happened.

Ulikuwa ni utoto yes! Lakini nilimpenda sana and i still do.

Anasoma chuo kimoja hapa Tanzania. Tutakutana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…