Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Ebwaa e, mimi niliachwa kimasihara kabisa na yule kengemaji. Nilidumu nae kwa zaidi ya miaka minne akiwa na bikra yake tukiwa na lengo la kuitoa akimaliza cha sita.

Nakumbuka nikiwa tayari na form ya kwenda JKT na nina kama wiki ya kujiandaa nakamuita ili nimuage.

Aliniambia kimasihara kabisa kwamba, "sikuwahi kuwaza kuolewa na mwanajeshi na haitakaa itokee ila nakuomba nitolee bikra niliyokutunzia kwa muda mrefu then kila mmoja aendelee na maisha yake"

NB: MIMI SIO MWANAJESHI.
 
Back
Top Bottom