matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
-
- #241
Mkuu umemsahau yule Bwana Mdogo. Tajiri aliyeambiwa auzr Mali akamkibia Yesu.Maisha ya miaka hiyo hayakuhitaji pesa nyingi. Mahitaji yalikuwa machache sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwamba alikua anatumia teknolojia kubwa sana kipindi hiyo halafu password yake ilikua ndoano.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sanaNdio kabisa
Ni kweli hadi kipindi cha mitume walijazwa na Roho mtakatifu kwenye jumba la ghorofa, ghorofani .Si unajua juu ghorofani upepo wote wako.walikuwa na majumba ya nguvuMkuu umemsahau yule Bwana Mdogo. Tajiri aliyeambiwa auzr Mali akamkibia Yesu.
Watu walikuwa na Pesa sana enzi hizo
Yesu hata mifano aliyotoa Miaka hiyo ilionyesha watu walikuwa matajiri mfano aliotoa wa wanawali Kumi waliokuwa na taa za mafuta Miaka hiyo Sisi waafrika hata moto tulikuwa hatujaugundua tunaishi maporini na havijui hata mafuta ya taa ni kitu gani na taa ni kitu gani wala karamu ni nini?Mkuu umemsahau yule Bwana Mdogo. Tajiri aliyeambiwa auzr Mali akamkibia Yesu.
Watu walikuwa na Pesa sana enzi hizo
Ni kweli hadi kipindi cha mitume walijazwa na Roho mtakatifu kwenye jumba la ghorofa, ghorofani .Si unajua juu ghorofani upepo wote wako.walikuwa na majumba ya nguvu
Waumini enzi hizo walikuwa hadi na maghorofa matajiri hakuna aliyekuwa na uhitaji wowote wa chochote sababu waluweka mali zao sio ulofa wao shirika !! Kila mtu alikuwa na mali ya kuweka shirika sio kama leo unasikia mpendwa una elfu ya karibu hapo unikopeshe ukimkopesha harudishi anatokomea mitini ukimdai anakuvurumishia miistari ya kukulaani kibao kuwa ukimdai chako.
HahahaNi kweli hadi kipindi cha mitume walijazwa na Roho mtakatifu kwenye jumba la ghorofa, ghorofani .Si unajua juu ghorofani upepo wote wako.walikuwa na majumba ya nguvu

HahahahaNi kweli hadi kipindi cha mitume walijazwa na Roho mtakatifu kwenye jumba la ghorofa, ghorofani .Si unajua juu ghorofani upepo wote wako.walikuwa na majumba ya nguvu

Uko sahihi Wenzetu waliabudu Yesu Tajiri lakini leo makanisani wamejaa maskini waabudu Yesu Maskini ndio maana umaskini hauishi.kuanzia kwa Wachungaji,mapadre nk hadi wauminiHahaha
Hahahaha
Mkuu naunga Mkono hoja.
Wakristo baada ya Yesu walikuwa wanamiliki magorofa kweli.
Maana hata Dorcas yule mama alipokufa alipelekwa Ghorofani.
Maombi walikuwa wanafanyia ghorofani kama kwa Yule tikiko alipoanguka wakiwa wanasali.
Petro alikuwa gorofani akisubiri Msosi akaota Ndoto za ajabu.
Kuna mamamoja Lydia alUkiwa tajiri sana muuza mavazi ya zambarau.
Nguo za zambarau walikuwa wanavaa matajiri na wafalme wakina Herode na Mapirato
Hajakataza Mkuu.
Uzima wa milele ni Kujua Mungu na Yesu aliyemtuma.
Tusipomjua hatuwezi kwenda peponi.
Sasa hapa tu nataka kujua kidogo katika dimension ya uchumi tu.
Tuko vzr na tuko sahihi mkuu
Ni kweli hadi kipindi cha mitume walijazwa na Roho mtakatifu kwenye jumba la ghorofa, ghorofani .Si unajua juu ghorofani upepo wote wako.walikuwa na majumba ya nguvu
Waumini enzi hizo walikuwa hadi na maghorofa matajiri hakuna aliyekuwa na uhitaji wowote wa chochote sababu waluweka mali zao sio ulofa wao shirika !! Kila mtu alikuwa na mali ya kuweka shirika sio kama leo unasikia mpendwa una elfu ya karibu hapo unikopeshe ukimkopesha harudishi anatokomea mitini ukimdai anakuvurumishia miistari ya kukulaani kibao kuwa ukimdai chako.
HahahaNi kweli hadi kipindi cha mitume walijazwa na Roho mtakatifu kwenye jumba la ghorofa, ghorofani .Si unajua juu ghorofani upepo wote wako.walikuwa na majumba ya nguvu
Waumini enzi hizo walikuwa hadi na maghorofa matajiri hakuna aliyekuwa na uhitaji wowote wa chochote sababu waluweka mali zao sio ulofa wao shirika !! Kila mtu alikuwa na mali ya kuweka shirika sio kama leo unasikia mpendwa una elfu ya karibu hapo unikopeshe ukimkopesha harudishi anatokomea mitini ukimdai anakuvurumishia miistari ya kukulaani kibao kuwa ukimdai chako.
HahahahaNi kweli hadi kipindi cha mitume walijazwa na Roho mtakatifu kwenye jumba la ghorofa, ghorofani .Si unajua juu ghorofani upepo wote wako.walikuwa na majumba ya nguvu
Waumini enzi hizo walikuwa hadi na maghorofa matajiri hakuna aliyekuwa na uhitaji wowote wa chochote sababu waluweka mali zao sio ulofa wao shirika !! Kila mtu alikuwa na mali ya kuweka shirika sio kama leo unasikia mpendwa una elfu ya karibu hapo unikopeshe ukimkopesha harudishi anatokomea mitini ukimdai anakuvurumishia miistari ya kukulaani kibao kuwa ukimdai chako.
Asante.Yesu alikuwa Ana kila kitu na aliungwa mkono na matajiri na alikula nao meza moja ..Hakuna muhamala wowote wa yesu ulikwama kufanyika
Aliweza kumuagiza yule fanya HV au vile na pesa ikapatikana kuweza kufanya mihamala ya manunuzi yao na ulipaji wa kod na ushuru
Yesu aliingia katk kanisa au jengo na kukuta limekuwa pango la wanyanganyi aliweza kupindua pindu meza zao na kufuruga biashara zao na hakuna hatua aliyochukuliwa hapo kwa hapo mpk baaadae San. Walivyo weza kuanda hati ya mshataka dhid yake
Simon mkerene Ni tajiri aliweza kukubali kuubeba msalaba wa yesu kulelekea golgota hvyo alitambua mchango wake na hvyo kuamua kumsadia msalaba
Hat sas wamuaminio yesu hawatatikiza milele daima
Asante.Uko sahihi Wenzetu waliabudu Yesu Tajiri lakini leo makanisani wamejaa maskini waabudu Yesu Maskini ndio maana umaskini hauishi.kuanzia kwa Wachungaji,mapadre nk hadi waumini
Kila kanisa lijiulize je Sisi ni photocopy ya kanisa la kwanza kiuwezo au tunafarijiana tu na kudanganyana kuwa wafuasi wa Kristo?
Wafuasi gani wa Yesu maskini wakati Yesu alikuwa Tajiri na fedha na dhahabu na vyote viujazavyo ulimwengu ni vyake? Ulofa unatokea wapi .Mafundisho potofu yamechangia makanisani wakristo kuwa maskini ohh Yesu alikuwa maskini mtu anaongea hata haya hana.Yesu awe maskini ?haiwezekani na hajawahi kuwa maskini
Mbn unamzingizia yesu uongo
Yaa msalaba. Wa Yesu ulibebebwa na Diaspora Simon Mkirene toka Ethiopia wa kimataifa Diaspora mtafuta maisha IsraelSimon mkerene Ni tajiri aliweza kukubali kuubeba msalaba wa yesu kulelekea golgota hvyo alitambua mchango wake na hvyo kuamua kumsadia msalaba
Umaskini ni laana sio kitu cha kukichekea wala kukitetea hasa kwa Wakristo wafuasi wa Tajiri Yesu bila kujali madhehebu yao.Niliwahi kusali kanisa moja la TAG pale kahama kama sijakosea linaitwa "deliverance temple" bwana bwana yule pastor nilimuelewa sana, hataki mtu anayemuabudu Yesu awe "masikini" siyo kwamba hafundishi habari za ufalme wa Mungu, hapana lakini anataka ile mara mia aliyoisema Yesu kuwa tutaipata hapa duniani wote tupate, nilikaa kahama kama wiki mbili lakini nilifurahi sana
Haya mafundisho yakifundishwa makanisa yote, hutaona mkristo masikini
Hii itakuwa Hadithi ya Kindengereko,ulisimuliwa na Hawara Yako...umechanganya mada!Kuna mstari nakumbuka aliwaambia waende wakanunue vitu kwa ajili ya kalamu na walikuwa hawana kitu.
Akawaambia nendeni tu, Hii naonesha alikuwa na maisha ya kuunga unga tu. Na hakuwa mkwasi.
Huko sahihi kumbukumbu yako.wahi mirembe hospitaliKuna mstari nakumbuka aliwaambia waende wakanunue vitu kwa ajili ya kalamu na walikuwa hawana kitu.
Akawaambia nendeni tu, Hii naonesha alikuwa na maia ya kuga unga tu. Na hakuwa mkwas
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji2]Kuna mstari nakumbuka aliwaambia waende wakanunue vitu kwa ajili ya kalamu na walikuwa hawana kitu.