Nini kilikuwa chanzo cha mapato ya Bwana Yesu?

Mkuu umemsahau yule Bwana Mdogo. Tajiri aliyeambiwa auzr Mali akamkibia Yesu.

Watu walikuwa na Pesa sana enzi hizo
Ni kweli hadi kipindi cha mitume walijazwa na Roho mtakatifu kwenye jumba la ghorofa, ghorofani .Si unajua juu ghorofani upepo wote wako.walikuwa na majumba ya nguvu

Waumini enzi hizo walikuwa hadi na maghorofa matajiri hakuna aliyekuwa na uhitaji wowote wa chochote sababu waliweka mali zao sio ulofa wao shirika !! Kila mtu alikuwa na mali ya kuweka shirika sio kama leo unasikia mpendwa una elfu ya karibu hapo unikopeshe ukimkopesha harudishi anatokomea mitini ukimdai anakuvurumishia miistari ya kukulaani kibao kuwa ukimdai chako.
 
Mkuu umemsahau yule Bwana Mdogo. Tajiri aliyeambiwa auzr Mali akamkibia Yesu.

Watu walikuwa na Pesa sana enzi hizo
Yesu hata mifano aliyotoa Miaka hiyo ilionyesha watu walikuwa matajiri mfano aliotoa wa wanawali Kumi waliokuwa na taa za mafuta Miaka hiyo Sisi waafrika hata moto tulikuwa hatujaugundua tunaishi maporini na havijui hata mafuta ya taa ni kitu gani na taa ni kitu gani wala karamu ni nini?

Mifano mingine ya kitajiri ni ya mtu aliyeajiri watu masaa tofauti tofauti kwa ujira ule ule nk
 
Ni kweli hadi kipindi cha mitume walijazwa na Roho mtakatifu kwenye jumba la ghorofa, ghorofani .Si unajua juu ghorofani upepo wote wako.walikuwa na majumba ya nguvu

Waumini enzi hizo walikuwa hadi na maghorofa matajiri hakuna aliyekuwa na uhitaji wowote wa chochote sababu waluweka mali zao sio ulofa wao shirika !! Kila mtu alikuwa na mali ya kuweka shirika sio kama leo unasikia mpendwa una elfu ya karibu hapo unikopeshe ukimkopesha harudishi anatokomea mitini ukimdai anakuvurumishia miistari ya kukulaani kibao kuwa ukimdai chako.

Hahaha

Hahahaha

Mkuu naunga Mkono hoja.
Wakristo baada ya Yesu walikuwa wanamiliki magorofa kweli.

Maana hata Dorcas yule mama alipokufa alipelekwa Ghorofani.

Maombi walikuwa wanafanyia ghorofani kama kwa Yule tikiko alipoanguka wakiwa wanasali.

Petro alikuwa gorofani akisubiri Msosi akaota Ndoto za ajabu.

Kuna mamamoja Lydia alUkiwa tajiri sana muuza mavazi ya zambarau.

Nguo za zambarau walikuwa wanavaa matajiri na wafalme wakina Herode na Mapirato
 
Uko sahihi Wenzetu waliabudu Yesu Tajiri lakini leo makanisani wamejaa maskini waabudu Yesu Maskini ndio maana umaskini hauishi.kuanzia kwa Wachungaji,mapadre nk hadi waumini
Kila kanisa lijiulize je Sisi ni photocopy ya kanisa la kwanza kiuwezo au tunafarijiana tu na kudanganyana kuwa wafuasi wa Kristo?
Wafuasi gani wa Yesu maskini wakati Yesu alikuwa Tajiri na fedha na dhahabu na vyote viujazavyo ulimwengu ni vyake? Ulofa unatokea wapi .Mafundisho potofu yamechangia makanisani wakristo kuwa maskini ohh Yesu alikuwa maskini mtu anaongea hata haya hana.Yesu awe maskini ?haiwezekani na hajawahi kuwa maskini
 
Yesu alikuwa Ana kila kitu na aliungwa mkono na matajiri na alikula nao meza moja ..Hakuna muhamala wowote wa yesu ulikwama kufanyika

Aliweza kumuagiza yule fanya HV au vile na pesa ikapatikana kuweza kufanya mihamala ya manunuzi yao na ulipaji wa kod na ushuru

Yesu aliingia katk kanisa au jengo na kukuta limekuwa pango la wanyanganyi aliweza kupindua pindu meza zao na kufuruga biashara zao na hakuna hatua aliyochukuliwa hapo kwa hapo mpk baaadae San. Walivyo weza kuanda hati ya mshataka dhid yake

Simon mkerene Ni tajiri aliweza kukubali kuubeba msalaba wa yesu kulelekea golgota hvyo alitambua mchango wake na hvyo kuamua kumsadia msalaba

Hat sas wamuaminio yesu hawatatikiza milele daima
 
Hajakataza Mkuu.
Uzima wa milele ni Kujua Mungu na Yesu aliyemtuma.
Tusipomjua hatuwezi kwenda peponi.

Sasa hapa tu nataka kujua kidogo katika dimension ya uchumi tu.

Tuko vzr na tuko sahihi mkuu

Unatakiwa umuulize M/Mungu moja kwa moja au haujui kumuuliza M/Mungu direct
 
Ni kweli hadi kipindi cha mitume walijazwa na Roho mtakatifu kwenye jumba la ghorofa, ghorofani .Si unajua juu ghorofani upepo wote wako.walikuwa na majumba ya nguvu

Waumini enzi hizo walikuwa hadi na maghorofa matajiri hakuna aliyekuwa na uhitaji wowote wa chochote sababu waluweka mali zao sio ulofa wao shirika !! Kila mtu alikuwa na mali ya kuweka shirika sio kama leo unasikia mpendwa una elfu ya karibu hapo unikopeshe ukimkopesha harudishi anatokomea mitini ukimdai anakuvurumishia miistari ya kukulaani kibao kuwa ukimdai chako.
Ni kweli hadi kipindi cha mitume walijazwa na Roho mtakatifu kwenye jumba la ghorofa, ghorofani .Si unajua juu ghorofani upepo wote wako.walikuwa na majumba ya nguvu

Waumini enzi hizo walikuwa hadi na maghorofa matajiri hakuna aliyekuwa na uhitaji wowote wa chochote sababu waluweka mali zao sio ulofa wao shirika !! Kila mtu alikuwa na mali ya kuweka shirika sio kama leo unasikia mpendwa una elfu ya karibu hapo unikopeshe ukimkopesha harudishi anatokomea mitini ukimdai anakuvurumishia miistari ya kukulaani kibao kuwa ukimdai chako.
Hahaha
Ni kweli hadi kipindi cha mitume walijazwa na Roho mtakatifu kwenye jumba la ghorofa, ghorofani .Si unajua juu ghorofani upepo wote wako.walikuwa na majumba ya nguvu

Waumini enzi hizo walikuwa hadi na maghorofa matajiri hakuna aliyekuwa na uhitaji wowote wa chochote sababu waluweka mali zao sio ulofa wao shirika !! Kila mtu alikuwa na mali ya kuweka shirika sio kama leo unasikia mpendwa una elfu ya karibu hapo unikopeshe ukimkopesha harudishi anatokomea mitini ukimdai anakuvurumishia miistari ya kukulaani kibao kuwa ukimdai chako.
Hahahaha

Mkuu naunga Mkono hoja.
Wakristo baada ya Yesu walikuwa wanamiliki magorofa kweli.

Maana hata Dorcas yule mama alipokufa alipelekwa Ghorofani.

Maombi walikuwa wanafanyia ghorofani kama kwa Yule tikiko alipoanguka wakiwa wanasali.

Petro alikuwa gorofani akisubiri Msosi akaota Ndoto za ajabu.

Kuna mamamoja Lydia alUkiwa tajiri sana muuza mavazi ya zambarau.
Yesu alikuwa Ana kila kitu na aliungwa mkono na matajiri na alikula nao meza moja ..Hakuna muhamala wowote wa yesu ulikwama kufanyika

Aliweza kumuagiza yule fanya HV au vile na pesa ikapatikana kuweza kufanya mihamala ya manunuzi yao na ulipaji wa kod na ushuru

Yesu aliingia katk kanisa au jengo na kukuta limekuwa pango la wanyanganyi aliweza kupindua pindu meza zao na kufuruga biashara zao na hakuna hatua aliyochukuliwa hapo kwa hapo mpk baaadae San. Walivyo weza kuanda hati ya mshataka dhid yake

Simon mkerene Ni tajiri aliweza kukubali kuubeba msalaba wa yesu kulelekea golgota hvyo alitambua mchango wake na hvyo kuamua kumsadia msalaba

Hat sas wamuaminio yesu hawatatikiza milele daima
Asante.
Yesu alikufa kitajiri sana.
Msiba ulishiriki matajiri wengi.
Asante mkirene (Lybia) alikuwa tajiri inamaana waafrika tulikuwa matajiri enzi za Yesu.
 
Uko sahihi Wenzetu waliabudu Yesu Tajiri lakini leo makanisani wamejaa maskini waabudu Yesu Maskini ndio maana umaskini hauishi.kuanzia kwa Wachungaji,mapadre nk hadi waumini
Kila kanisa lijiulize je Sisi ni photocopy ya kanisa la kwanza kiuwezo au tunafarijiana tu na kudanganyana kuwa wafuasi wa Kristo?
Wafuasi gani wa Yesu maskini wakati Yesu alikuwa Tajiri na fedha na dhahabu na vyote viujazavyo ulimwengu ni vyake? Ulofa unatokea wapi .Mafundisho potofu yamechangia makanisani wakristo kuwa maskini ohh Yesu alikuwa maskini mtu anaongea hata haya hana.Yesu awe maskini ?haiwezekani na hajawahi kuwa maskini
Asante.
Hizi ndio mindset za mkristo mfuasi wa Yesu.
Wafilipi 4:19
 
Simon mkerene Ni tajiri aliweza kukubali kuubeba msalaba wa yesu kulelekea golgota hvyo alitambua mchango wake na hvyo kuamua kumsadia msalaba
Yaa msalaba. Wa Yesu ulibebebwa na Diaspora Simon Mkirene toka Ethiopia wa kimataifa Diaspora mtafuta maisha Israel

Diaspora Tajiri mwakilisha Afrika Israel Balizi Simon Mkirene ndie alibeba msalaba kumsindikiza Yesu Safari yake yake ya mwisho.Msalaba haukubebwa na malofa au maskini ni Diaspora international figure His excellence Honorable Ambassador Simon Mkirene mwenye Passport na uraia wa nje ndio alibeba ule msalaba .
 
Niliwahi kusali kanisa moja la TAG pale kahama kama sijakosea linaitwa "deliverance temple" bwana bwana yule pastor nilimuelewa sana, hataki mtu anayemuabudu Yesu awe "masikini" siyo kwamba hafundishi habari za ufalme wa Mungu, hapana lakini anataka ile mara mia aliyoisema Yesu kuwa tutaipata hapa duniani wote tupate, nilikaa kahama kama wiki mbili lakini nilifurahi sana

Haya mafundisho yakifundishwa makanisa yote, hutaona mkristo masikini
 
Hata habari za Tajiri Yesu kufufuka mtu wa kwanza kuzitangaza alikuwa Tajiri mkubwa Maria Magdalena mwanamke Tajiri wa kupindukia aliyekuwa akimpaka mafuta ya bei mbaya ambayo hata Yuda Iskariote aliogopa kuwa ohh haya mafuta mbona bei mbaya

Tajiri Maria Magdalena ndie alienda kwenye lile kaburi la kitajiri alipozikwa tajiri Yesu na Tajiri Yudufu wa Alimataya ili akaupake tena mwili wa Kristo mafuta ya bei kubwa

Tajiri Maria Magdalena ndio akaenda kuwataarifu wengine kuwa Tajiri Yesu kafufuka.

Mtoa Tangazo wa kwanza kuwa Tajiri Yesu kafufuka alikuwa Tajiri sio maskini

UKristo halisi hauna uhusiano na umaskini kabisa.Mtu kama ni maskini na anajiita Mkristo anamdhalilisha Yesu tena mno ajitathimini Ukristo wake.
 
Niliwahi kusali kanisa moja la TAG pale kahama kama sijakosea linaitwa "deliverance temple" bwana bwana yule pastor nilimuelewa sana, hataki mtu anayemuabudu Yesu awe "masikini" siyo kwamba hafundishi habari za ufalme wa Mungu, hapana lakini anataka ile mara mia aliyoisema Yesu kuwa tutaipata hapa duniani wote tupate, nilikaa kahama kama wiki mbili lakini nilifurahi sana

Haya mafundisho yakifundishwa makanisa yote, hutaona mkristo masikini
Umaskini ni laana sio kitu cha kukichekea wala kukitetea hasa kwa Wakristo wafuasi wa Tajiri Yesu bila kujali madhehebu yao.
 
Kuna mstari nakumbuka aliwaambia waende wakanunue vitu kwa ajili ya kalamu na walikuwa hawana kitu.
Akawaambia nendeni tu, Hii naonesha alikuwa na maia ya kuga unga tu. Na hakuwa mkwas
Huko sahihi kumbukumbu yako.wahi mirembe hospitali
 
Yesu alikuwa na utajiri hata kabla ya kufa aliandaa karamu sio mlo wa kawaida karamu sio mlo wa kawaida ni vitu tofauti .Karamu haiandaliwi na maskini ni wenye nazo ndio waweza andaa karamu.Inaitwa karamu ya mwisho ina maana alikuwa ameandaa Karamu nyingi nyingi tu maishani mwake ile ndio ilikuwa karamu ya mwisho yenye mapochopocho ya kila namna tushindwe mlaji mwalikwa

Aliwaaga mitume kwa kuwapa karamu ya bufee ya uhakika ya kuagana nao. Ilikuwa farewell party ya nguvu sio ya kimaskini
 
Kuna mstari nakumbuka aliwaambia waende wakanunue vitu kwa ajili ya kalamu na walikuwa hawana kitu.
Akawaambia nendeni tu, Hii naonesha alikuwa na maisha ya kuunga unga tu. Na hakuwa mkwasi.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji2]
 
Back
Top Bottom