Nini kilikuwa chanzo cha mapato ya Bwana Yesu?

Lakini mshua wake si alikua carpenter?🤔.
So mpka kufika 30 yrs unadhani alikua anakula bata tu? Im sure alikua anajua kabisa kupiga randa na kutengeneza fenicha.
So mayb jioni alikua extracurricular activity anatengeneza zake fenicha znaenda kuuzwa sokoni/mnadani.
Mtu awe na experience ya 30 yrs ya kutengeneza furniture lazma akitoa kitu n kitu kwelikweli so hakikai na kinanunuliwa bei juu
 
Hapa nadhani ni pale alipotaka Punda kuingia Naye Yeriko Kifalme. Aliwaambia mumchukue mkimkuta mwenye Naye akiwauliza wamwambie Yesu anamtaka.


Hapa nadhani alimrudisha na hakuwa na haja ya kumiliki punda wakati kesho yake anaanza suluba.
Sio hilo tukio. Ili lakutumwa kuemea pasipo pesa ni tukio jingne kabsa
 
Na vile Yesu alivyoshibisha watu zaidi ya 2000 kwa mikate na samaki aligharamikia kiasi gani cha fedha? Au utasema alimwambia muhasibu avunje kibubu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huyu Si alikua Mungu! hazina zote za Dunia ni zake au? Nna wasiwasi tumepigwa Yesu alikua Mtu sio Mungu.
 
Kuna mstari nakumbuka aliwaambia waende wakanunue vitu kwa ajili ya kalamu na walikuwa hawana kitu.
Akawaambia nendeni tu, Hii naonesha alikuwa na maisha ya kuunga unga tu. Na hakuwa mkwasi.

[emoji28]wee jamaa bhana, ngoja Wakristo waje hapa
 

[emoji1787]
 

[emoji28][emoji28][emoji28]shule ya kibishoo
 
Kuna documentary nlisoma inahisiwa ni mary Magdalena (a conspiracy)
 

Uzoefu wa miaka 30????
Ina maana mwamba alinza kupiga randa akiwa na mwaka mmoja?
 
Mi mkristo, tena mkatoliki pure niliyepata mafundisho yote na sakramenti zote za lazima.
Naielewa Dini vizuri mkuu, hakuna Dhambi kusema ukweli kwamba Yesu Kama mwalimu hakuwa Tajiri.
Labda umaskini wake pia ulimshawishi Yuda kumuuza.

Kwahiyo mwamba alikuwa na maisha ya kuungaunga kama Ngwair[emoji28]
 
Na vile Yesu alivyoshibisha watu zaidi ya 2000 kwa mikate na samaki aligharamikia kiasi gani cha fedha? Au utasema alimwambia muhasibu avunje kibubu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapakuwa na duka kule hahahaha
Ni sawa na mfano Gwajima akajifiche kwenye maombi porini ndani kabisa Kolomije afuatwe huko na watu wanaotumia chips tu. Itabidi afanye miujiza.


Kule kando ya ziwa Genezareti hakukuwa na duka. Angewatuma wanunue kama alivyowatum alipokuwa Samaria. Hawa kwenda kuomba omba msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…