Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yohana 2:1-11 harusi ya KanaYesu aliweza kufanya MIUJIZA. Kwa hiyo moja kwa moja alikuwa ana advantage, rejea kwenye karamu ya Kana, na pale walipokuwa na mikate mitatu na samaki wawili.
Kana alitengeneza divaiPale sio kana Mkuu pale ni porini jamaa walimuata. Sio kwamba hakuwa na Pesa sema hakukuwa na maduka ya kununua maana ilikuwa ni porini.
Ila licha ya kuwa na Pesa nyingi, alikuwa mchumi sana sio mfujaji.
Aliwaambia wanafunzi waokote mabaki waondoke nayo. Sio Leo MTU akiwa na Pesa tu jalala linajaa mapaja ya Kuku yaliyolambwa yamebaki na minofu.
mkuu alionekana dhaifu wapi ulipomuona Jesus dhaifu?Mzee wa sakramenti unaniangusha. Kuna jamaa hapo amenikumbusha kitu.
Yesualipozaliwa alipewa na wale wachawi wa kiarabu (majusi) waliosoma biblia na kujua kazaliwa bethrehem. Dhahabu na madini mengi sana.
Haya anaweza kuwa alitunziwa na wazazi ili zimsaidie kumsponsor ministry yake.
Pia miaka mingi sana alikuwa selemala kwa Baba yake. Inawezekana alisave mzigo wa kutosha.
Alionekana dhaifu sio kwa sababu ya huzuni kwa sababu alikuwa anakula Mara chache muda mwingine kafunga, anakesha na anahurumia wa dhambi wa vizazi vyote
Sadaka na michango toka kwa wafadhili, hasa Lazaro (aliyefufuliwa) na dada zake Martha na Maria Magdalena. Hii familia ya hawa ndugu watatu ilikuwa tajiri sana.Yesu alikuwa na Pesa nyingi sana kuliko watu wa dini wanavyotueleza.
Ushahidi.
1: Alikuwa na Muhasibu. MTU binafsi bila kampuni wala biashara kufikia hatua ya kushindwa kutunza kipato chako hadi Uwe na Muhasibu basi utakuwa na Pesa nyingi sana.
2: Aliwazuia mitume wasifanye biashara zao. Aliwakuta jamaa wakinapetro ni wakokozi na wavuvi nguli akawaambia waache alafu wamfuate.
Kulisha breakfast, lunch na dinner wanaume 12 wasio na Kazi miaka mitatu mfululizo inabidi Uwe na Pesa. Ushahidi Baada ya kufa Petro aliwashawishi warudi kwenye Biashara zao.
3: Hakuna kifungu Yesu kaishiwa Pesa au kashindwa kufanya muamala wowote kisha hana salio. Aliwahi kudaiwa kodi ya hekalu, akamtuma Petro akavue samaki aliyekuwa na Pesa tumboni.
4: Muhasibu wake alikuwa mwizi na mwenye uchu wa Pesa. Huku tunaona makampuni maduka Yenye wahasibu wezi huwa yanafirisika. Yuda hakuwahi kufirisi mkoba wa pesa za mwalimu wake Yesu.
Wakuu Yesu alikuwa yuko vzr kiuchumi.
Sasa najiuliza nini nilikuwa chanzo chake cha fedha ikiwa
Alikuwa hana biashara
Hakuwa na gawio LA sadaka masinagogini na hekaluni?
Je alikuwa anawafadhili?
Je alikuwa anakusanya Sadaka kwenye mihadhara yake?
Je Alikuwa anashushiwa kimiujiza.?
"Umesema"Hahahaha
Watasema unatumia ndagu. Au Mariam umemtoa msukule.
Yesu alikuwa anajiamini kuliko rais wa nchi Herode hadi wadau wanamtumia TISs wa kiyahudi kujua jamaa anajiamini nini.
Yale Maisha ndio maisha anayopaswa kuishi. Sio kikondoo kondoo na kupelekeshwa na watu bila andiko. Bila andiko Yesu atakukatalia hata uje na Hypasonic Missiles umemuelekezea machoni
Hahahaha Mkuu umenichekesha kwa sauti.Watu mmeambiwa mtubu na kuacha dhambi lakini mnainvestigate mpaka uchumi wa Mwana wa Mungu
Hahahah"Umesema"
Yesu alikuwa anajiamini kuliko rais wa nchi Herode hadi wadau wanamtumia TISs?
Hii ya TISs imefanana na story ya Mshkaji Lisususu!!!
Mkuu tatizo huyu anayedai kuchukua mikoba alikuwa anatumia nguvu badala ya miujiza kupush agenda zake.Riwaya ya kijana wa mzee Yozefu huwa inasisimua sana.
Kifup tu huyu Bwana alitokea kipindi murua wayahudi wameshachoshwa na ukoloni wa warumi. Alidhaniwa ndo mkomboz. Hata mitume waliota vyeo kama uwaziri. (Had anauawa na mamlaka ya kisiasa wanafunz wake hawakuwa wameelewa kitu kuhusu mission yake). Alipata sana michango ya kiupendo toka kwa wayahudi wakiamini anafanya harakat za ukomboz. Bahat mbaya haikuwa hivyo!
Mbaya zaid aliishi maisha ya ujana hivi. Kula na kunywa pamoja na mastaa, tycoons, "video vixens", "slay queens" na "pisi kali" kama Maria magdalena!
Kitu kizur alichosaidia ni kupunguza makali ya torati kwa kuibua udhibiti wa tabia kwa mbinu ya upendo kuliko adhabu!
Alipokuja Muddy, alijua mapungufu ya mtanguliz wake. Akarudi kwenye mafundsho yanayoendana na mahitaji ya kijamii na asiki yenyewe ya binadam. Mf kuruhusu wake weng mana wanaume weng walishakufa vitani! Pia kuruhusu mtoto kuolewa endapo tu kavunja ungo! Kumbana mwanamke kuwa chini ya nwanamme. Ni kama torat version mpya! Na ilifit mila na destur za walengwa, tofaut na sera za kijana wa mzee Yozefu!
Mkuu hawa walikuwa masikini wanaishi Bethania Jerusalem kijijini huko nje ya ukuta.Sadaka na michango toka kwa wafadhili, hasa Lazaro (aliyefufuliwa) na dada zake Martha na Maria Magdalena. Hii familia ya hawa ndugu watatu ilikuwa tajiri sana.
Kama unaamin Mungu ndie aliyeumna kila kitu.. sayar na nyota na vyote vilivyomo.. anajua jana leo na kesho.. anauwezo wa kufanya chochote kila.. pia tunaamin jesus was/is God too...Yesu alikuwa na Pesa nyingi sana kuliko watu wa dini wanavyotueleza.
Ushahidi.
1: Alikuwa na Muhasibu. MTU binafsi bila kampuni wala biashara kufikia hatua ya kushindwa kutunza kipato chako hadi Uwe na Muhasibu basi utakuwa na Pesa nyingi sana.
2: Aliwazuia mitume wasifanye biashara zao. Aliwakuta jamaa wakinapetro ni wakokozi na wavuvi nguli akawaambia waache alafu wamfuate.
Kulisha breakfast, lunch na dinner wanaume 12 wasio na Kazi miaka mitatu mfululizo inabidi Uwe na Pesa. Ushahidi Baada ya kufa Petro aliwashawishi warudi kwenye Biashara zao.
3: Hakuna kifungu Yesu kaishiwa Pesa au kashindwa kufanya muamala wowote kisha hana salio. Aliwahi kudaiwa kodi ya hekalu, akamtuma Petro akavue samaki aliyekuwa na Pesa tumboni.
4: Muhasibu wake alikuwa mwizi na mwenye uchu wa Pesa. Huku tunaona makampuni maduka Yenye wahasibu wezi huwa yanafirisika. Yuda hakuwahi kufirisi mkoba wa pesa za mwalimu wake Yesu.
Wakuu Yesu alikuwa yuko vzr kiuchumi.
Sasa najiuliza nini nilikuwa chanzo chake cha fedha ikiwa
Alikuwa hana biashara
Hakuwa na gawio LA sadaka masinagogini na hekaluni?
Je alikuwa anawafadhili?
Je alikuwa anakusanya Sadaka kwenye mihadhara yake?
Je Alikuwa anashushiwa kimiujiza.?
IThe Bible teaches that Jesus Christ is both God and man. Deuteronomy 8:18 But remember the LORD your God, for it is he who gives you the ability to produce wealth, and so confirms his covenant, which he swore to your ancestors, as it is today.THEREFORE to Jesus wealth,finances etc wasn't a big deal because He's himself son of God and all wealth belongs to him. I hope you have your answer now. Karibu.
I believe Bro.belii Bible teaches that Jesus Christ is both God and man. Deuteronomy 8:18 But remember the LORD your God, for it is he who gives you the ability to produce wealth, and so confirms his covenant, which he swore to your ancestors, as it is today.THEREFORE to Jesus wealth,finances etc wasn't a big deal because He's himself son of God and all wealth belongs to him. I hope you have your answer now. Karibu.
Ndiyo maana alimwambia mtu mbweha wanamapango lakini mwana wa Adamu hana hata pakuweka kichwa chake.Alilishwa na watu na alilala popote alipokaribishwa.
Yuda alijua Yesu atawakimbia lakini iliandikwa ole wake yeye atakayemsaliti mwana wa adamu ni heri kwake kama asingezaliwaYuda hakumuuza kwa bahatimbaya, iliku kukamilisha mpango wa Mungu juu ya ukombozi wa mwadamu. Ilimpasa yesu kufa
There is no where in the Bible where we read Judas was an evil man up until he plotted evil through his handheld coffers to betray Jesus. Kwa hiyo mapato aliyobeba yalikuwa halali isipokuwa NIA OVU ya Yuda kutenda uovu yaani Mens rea ndo iliharibu kila kitu na kuzalisha Acrus rea NIA VS KUSUDIO la kutenda uovu...hivyo hakuna mapato yasiyo halali aliyobeba Yuda ila nia yake na matendo yake maovu ndo yaliharibuI
I believe Bro.
Turudi kwenye mfuko wa fedha za Yesu ulikuwa unatunzwa na kijana wa mzee Iskariyote...
Pesa alizokuwa anazitunza aliItoalea wapi. Au zilitoka Mbinguni automatically
Mkuu wale manasara 12 walianza kuvua baada ya Yesu kufa. Walipokuwa na Yesu sijaona andiko wanavua. Walivua kabla na baada.kwa imani yangu, mafungu ya kumi na sadaka zilikuwa zinaenda kwenye masinagogi, havikua vinatolewa kwa mtu binafsi, hivyo sadaka wala mafungu hayakupelekwa kwa Yesu.
Yesu alizaliwa na kukulia kwenye familia ya selemala. hapo huwezi kusema hakuwa selemala, na huwezi kusema hakuwa anafanya kazi kupata kipato. pia, wanafunzi wa Yesu, mitume walikuwa 12, ila thenashara (wanafunzi wasio mitume) walikuwa 70. hawa wote walikuwa wanafanya shughuli zao binafsi, sio kwamba muda wote kuanzia asubuhi hadi jioni Yesu alikuwa anatangatanga akihubiri tu, hapana, alikuwa anafanya kazi zingine pia. wanafunzi wake wengine walikuwa wavuvi wakubwa tu. nakumbuka kuna siku moja aliwatembelea wanafunzi wake, akawauliza leo tuna chakula gani, wakamwambia Rabi, tumehangaika usiku kucha kuvua samaki hatujapata chochote, basi yeye akawaamuru warushe nyavu na wazivute, waliporusha tu wakapata samaki za kimiujiza hadi nyavu zilitaka zianze kukatika. wanafunzi wake wakashangaa mno. kumbe usiku wote wa jana yake wanafunzi wake ambao walikuwa wavuvi walishinda baharini wakivua, walikuwa na shughuli zingine pia kumbe, sio kwamba walikuwa wakizunguka kuhubiri tu.
pia, kama maisha ya Yesu, au Biblia ingeandikwa kila kitu, wala isingetosha, kuna mengi hayajaandikwa ambayo yalitokea enzi zake, na mengine yanayohusu maisha yake.
Wafadhili,kama Lazarus au Joseph of Arimathea .Yesu alikuwa na Pesa nyingi sana kuliko watu wa dini wanavyotueleza.

W
Alikuwa hana biashara
Hakuwa na gawio LA sadaka masinagogini na hekaluni?
Je alikuwa anawafadhili?
Je alikuwa anakusanya Sadaka kwenye mihadhara yake?
Je Alikuwa anashushiwa kimiujiza.?