Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #101
May Day,Msikilize Mzee Waikela.
Waikela alinisaidia sana katika utafiti wa kitabu changu.
Ngoja niingie Maktaba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
May Day,Msikilize Mzee Waikela.
Ana undugu na Mr Misifa Prince Dully Sykes ?Kati ya dhambi kubwa hapa duniani, ni dhambi ya kumsingizia marehemu, haisameheki!.
Huu urongo wa Abdul kumpokea Nyerere Dar es Salaam, ni urongo Mtakatifu wa mchana kweupe unaorudiwa na Mkuu Maalim Mohammed Said mara 100 ili uonekane ni ukweli!.
Kitu ambacho ni kweli, baada ya Mwalimu kuacha ualimu na kukitumikia chama full time, ni kweli yeye na Mama Maria, waliishi nyumbani kwa Sykes na ni kweli waliwahifadhi na kuwasaidia kwa kipindi kifupi kabla ya kuhamia Magomeni.
- Mwalimu Nyerere baada ya kumaliza Tabora School, amesoma St. Francis, Pugu, ni Dar es Salaam!, angalia ni mwaka gani, sio kuja kuongopa humu kuwa kuna Sykes ndio wamempokea Mwalimu Nyerere jijini DSM!.
- Baada ya Pugu, Mwalimu amekwenda Makekere, nchini Uganda na ameondokea Dar es Salaam na kurejea Dar es Salaam!, angalia ni mwaka gani?.
- Mwalimu Nyerere baada ya Makerere, amekwea pipa kwenda kusoma chuo kikuu cha Edinburgh nchini Uingereza!, hiyo ndege hakupandia Butiama!, alipandia Dar es Salaam!.
- Mwalimu amerudi Kufundisha Pugu, aliingilia Dar es Salaam na kuondokea Dar es Salaam.
- Mwalimu ndio alikuwa Katibu wa TANU wa Tabora, alikuja Dar kuhudhuria Mkutano Mkuu wa TAA mwaka 1948 wala hakupokelewa na Sykes!.
Mwaka 1996, nilisimuliwa na mjane wa Sykes, Mama Daisy aliyekuwa akiishi pale Opposite California Dreamer, na nilipelekwa na mjukuu wake, Mwamvua Mlangwa.
Kitu ambacho namkubali sana Maalim Mohammed Said ni uwezo wake wa uandishi, na umahiri wa kusimulia, he is gifted, ana kipaji, na kufuatia kipaji hicho, ni mtu wa kuaminiwa, hivyo ana agenda fulani hivyo kutunga uongo na kuu craft vizuri kabisa na kuonekana kama ukweli ili tuu kuitimiza hiyo agenda!.
Niliwahi kutoa angalizo humu kumhusu mtu huyu!.
Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!.
Sasa ni jana tuu tumetoka kumpumzisha Mkapa, hata siku 3 kaburini bado, leo anakuja kumzushia haya, tena kwa kutumia lugha ya kifedhuli kama hii
Wewe Mkuu Maalim Mohammed Said ni mtu wa kutumia maneno haya kumzungumzia Mkapa?!, "Mwandishi mpumbavu peke yake ndiye anaeweza kuchagua uamuzi wa kijinga kama huu.
Benjamin Mkapa hakuwa mtu zuzu".
I think this is too much!.
Thanks God, Mkuu Maalim Mohammed Said ni mtu mwerevu anayejua vyema kusoma nyakati, anamjua vizuri JPM, naamini anazijua vyema sababu zilizopelekea "wale jamaa" waendelee kuhifadhiwa kule 'mahali salama', hivyo tangu baada ya kumtolea angalizo lile, sasa yuko makini kwa kupunguza kuipush ile agenda yake ambayo ndio the motive behind most of his writings, na by the time 'jamaa' anamaliza, "if at all atamaliza", the time left will be too little too late to keep pushing his agenda forward!.
Paskali
Kiukweli mzee ana mahaba yaliyopitiliza kwa Abdul Sykes. Ila akumbuke uwezo wa Nyerere haukuwa wa kawaida... pia alikuwa msomi. Isingewezekana yeye kuwa chini ya Sykes. Kuhusu dini ni kweli mzee maandishi yake mengi yanatia utata sana. Anyway, mzee atarekebisha anapoteleza.Nguruvi,
Ikiwa ni historia ya TANU lazima Abdul Sykes atajwe vinginevyo haitakuwa historia ya TANU.
Huwezi kueleza historia ya Azimio la Arusha bila ya kumtaja Nyerere.
Chuo Cha CCM Kivukoni wameandika historia ya TANU bila kumtaja Abdul Sykes.
Balaa lake ndiyo hili tuko hapa karibu miaka 10 tunamzungumza Abdul Sykes.
Abdul Sykes mwenyewe hakutaka kuwa rais na nimeeleza katika kitabu cha maisha yake jinsi alivyojitahidi kumshawishi Chief Kidaha Makwaia ajiunge na TAA wampe urais kisha waunde TANU na Chief Kidaha aongoze mapambano ya kudai uhuru.
Ungekuwa unafanya utafiti angalau kidogo kabla hujaandika.
Dira...Kiukweli mzee ana mahaba yaliyopitiliza kwa Abdul Sykes. Ila akumbuke uwezo wa Nyerere haukuwa wa kawaida... pia alikuwa msomi. Isingewezekana yeye kuwa chini ya Sykes. Kuhusu dini ni kweli mzee maandishi yake mengi yanatia utata sana. Anyway, mzee atarekebisha anapoteleza.
Dira...Dira...
Mimi kaniambukiza baba yangu akimpenda sana Bwana Abdul na ajabu ya Rahman mimi na Kleist mtoto wa Abdul Sykes tukipendana sana toka udogo wetu.
Mama yake Kleist Bi. Mwamvua na Mama yangu Bi. Baya walikuwa marafiki wakubwa.
Bila ya udugu huu nisingeweza kuaminiwa kusoma nyaraka zao zilizonisaidia kuandika kitabu cha Abdul Sykes.
Nitakuwekea hapa In Shaa Allah taazia niliyomwandikia Kleist alipofariki.
Hilo la uwezo wa Nyerere wote wakiujua ndiyo maana wakamchagua kuwa Territorial President wa TAA.
Hili huliwezi.
Hili huliwezi.
Mohamed Said,
Shukurani shehe wangu kwa hii ilimu. Najifunza misamiati mingi toka kwako.
Leo nimelinyaka neno "taazia" ingawa nilivyo search sikulipata badala yake nimelikuta neno "tazia" ambalo kama sikosei linaonyesha kuwa na maana sawa na "taazia".
Halafu nikalinganisha na neno "tanzia" tunalotumia akina siye wa kutoka mrima.
"Tazia": means comfort, condolence or expression of grief.
ninaamini kwa definition hii, tazia = obituary.
OK.
"Tanzia": means death notice / announcement
Napoaema hili huliwezi namaanisha huliwezi kweli, na kuendelea kwako kunijibu unazidi kukosea zaidi.Kwanza lazima ujue kwamba kutokuweza jambo ni ubinadamu na sio aibu na ukitambua kwamba huwezi ndipo unapata nafasi ya kujifunza zaidi na lazima ujue anayejua zaidi ni mungu tu.
Mohamed said alisema Taazia ni neno lenye asili ya kiarabu. Akipinga matumizi ya maneno Tanzia na Tazia na akashadidisha kuwa neno Tanzia hutumiwa na watu wa bara na watu wa pwani hutumia Mimi asili maana yake ni "origin" yaani chanzo, ama liwe limetoholewa
Nilitaka kukupuuza lakini nimepata huruma na nitajaribu kukuondolea maradhi ya ujinga wako.
Neno Taazia ni matamshi ya neno la kiarabu (تعزية) yaliyoharibiwa kwa bahati mbaya na waswahili wa Pwani pale waliposhindwa kutamka sawasawa neno la kiarabu: Taa'ziyah.
Kwahiyo neno "Taazia" ni neno la kiarabu haswa liloshindwa kutamkwa sawasawa na watu wa pwani.
Chukua mfano huu; Watu wa Afrika ya magharibi hususan makabila fulani kutoka Ghana wao katika herufi ya kiarabu (ر) wao huweka (ل) na pia katika matamshi wanashindwa kuzingatia "shadda" na hii ni kutokana na athari za lugha zao za kienyeji halikadhalika Watu India na Pakistani kuna baadhi ya herufi za kiarabu kwao kutamka ni mgogoro.
Mtu wa Ghana maneno: (محمد الرسول الله) atatamka; "Muhamada lasululaa" na sio; "Muhammada rrasul llah"---
Kutokana na mfano huo, kwa mtu mjinga atasema huyo jamaa kutoka Ghana hakutamka maneno ya kiarabu kwasababu tu ya kushindwa kutamka vyema maneno hayo ya kiarabu lakini mwenye akili atajua kwamba huyo katamka maneno ya kiarabu ila kashindwa kuyatamka vyema, na ndivyo ilivyo kwa neno "Taazia" neno hilo ni "Taa'ziyah".
Na Maneno ya kiswahili yenye maana hiyohiyo ya neno Taa'ziyah (Taazia) yatokanayo na asili ya neno hilo ni "Tanzia" na "Tazia", Maneno hayo mawili yanapatikana katika kamusi za kiswahili lakini neno "Taazia" halipo katika kamusi za kiswahili.
Sasa wewe mshupavu tafuta neno hilo "Taazia" ndani ya kamusi na uniletee hapa na sio kubwabwaja tu.
Angalia watu wenye elimu walivyotusaidia hapo chini:-
Napoaema hili huliwezi namaanisha huliwezi kweli, na kuendelea kwako kunijibu unazidi kukosea zaidi.
Tamko kutokuwepo katika Kiswahili haimaanishi tamko hilo siyo la Kiswahili kijana, sababu kujua lugha au hukumu ya lugha tunarejea kwa Waswahili wenyewe, na ukiona halipo basi waandishi wa Kamusi wanatakiwa warudi tena kwa Waswahili na kuliandika tamko hilo.
Kwahiyo matamko yote hayo yanatokana na Kiarabu ndiyo maana tukapata Tanzia, Taazia na Tazia, yote yanarudi kwenye tamko la Kiarabu na si Kiarabu bali kwa asili.
Sasa sisi tunakubali kila mwanadamu ni mkosefu na dhaifu ila tunakataa pindi mwanadamu anapo kosolewa na kukataa kukosolewa.
Hitimisho ni kuwa Taazia ni tamko la Kiswahili lenye asili ya Kiarabu, kama lilivyo tamko "Balaa na Baa" au tamko "Mauti".
Wakati huo Pugu haikuwa Dar.ilikuwa KisaraweMkuu hapa ndio unawachanganya watu. Kwani pugu sio dar?
Mafahari wawili kutachimmbikaMohamed ana sifa moja kubwa miongoni mwa nyingi.
Ni mtu anayejua kuipeleka hadhra aliyoikusudia kule anakotaka.
Katika kufanisha mipango yake iwe kwa uzuri au ubaya kutegemea hoja, Mohamed hurudi jambo hata mara 1000. Mzee Said anafahamu, kurudia rudia uongo mara nyingi hugeuka kuwa ukweli.
Soma hapa chini
Kwa mtu anayesoma vitu juu juu, au asiye na ufahamu wa kina na mada au mwenye upungufu tu wa kibinadamu wa kuelewa, hoja ya Mohamed inasomeka tofauti lakini kwa mtazamo wa kusudio lake.
Msomaji ataamini kuwa Nyerere alitoka Butiama na kufikia kwa Abdul Sykes.
Na kwamba ujio wa Nyerere ilikuwa zao la juhudi za Abdul Sykes.
Hapo Mohamed atakuwa tayari amempa 'mbwa jina baya ili amuue''
Hapa ieleweke suala si uhusiano wa Nyerere na Abdul unaopingwa.
Nyerere alifika Dar es Salaam kwa mara ya kwanza katika mkutano mwaka 1948 akitokea Tabora.
Baadaye Nyerere alikuja Dar kufundisha kama Mwalimu kule Pugu.
Alipoacha kazi ya Ualimu ndipo alipokwenda kuishi na Abdul
Mohamed hawezi kukueleza mahusiano ya kufahamiana japo kwa juu juu kati ya Nyerere na Abdul
Atakachokueleza ni Nyerere kuishi kwa Abdul na atarudia mara 1000 na inageuka kuwa ''ukweli ''
Tumemueleza Mohamed, haiwezekani Chama kikawa na makao makuu Dar es Salaam chini ya Abdul Kleist Syke Mbuwane, na mwenyekiti huyo asitambue uwepo wa tawi kubwa sana la Tabora likiongozwa na katibu Nyerere.
Haiwezekani kwamba Nyerere alizuka mwaka 1948 kuja katika mkutano ambao watu hawamjui na wala hawakutaka kumjua baada ya hapo.
Ikiwa ni hivyo huyu Abdul atakuwa kiongozi Mpumbavu sana.
Abdul hakuwa mpumbavu! wa kutambua wasomi wachache sana enzi hizo Nyerere akiwa miongoni!
Na ikiwa ilitokea haitakuwa ajabu, Abdul alikuwa Askari na aliwahi kuwafurumusha kwa makonde baba zake katika mapinduzi ya chama, seuse kumtambua Nyerere!
Sina tatizo na mtazamo wa Mohamed wala historia yake.
Nina tatizo na jinsi anavyotumia kalamu yake kuudurusu uongo mara 100 hata kuufanya uwe ukweli kwa sababu rahisi tu '' ukitaka kumuu mbwa mpe jina baya'' na hapa Nyerere hakwepi jina.
Masalaam, narudi viungani kuokota kumbaa !
JokaKuu Pascal Mayalla Mag3
Sitaki kuongeza neno lakini iwapo kuna uongo tupe ukweli ili tufungue fikra zetu tuachane na dhana ya Said.Mohamed ana sifa moja kubwa miongoni mwa nyingi.

Na hii ndio janja yako Mzee Said, huwa hujibu hoja husika.May Day,
Waikela alinisaidia sana katika utafiti wa kitabu changu.
Ngoja niingie Maktaba.
May Day,Na hii ndio janja yako Mzee Said, huwa hujibu hoja husika.
Jibu linalohitajika hapa ni uhakiki wako kwamba hakukuwa na Kundi lolote lililokwenda UNO kabla.
Pia utuambie kati ya wewe na Mzee Waikela (aliyeshiriki harakati za vyama/clubs kabla na baada ya uhuru akiwa Tabora) na wewe tuchukue kwa nani?
Ni ajabu kubwa kwamba wewe Mteja unataka kuelezea chakula kilivyopikwa kuliko hata Wapishi....ndio maana unasemwa kwa kupotosha mambo.
Mohamed ana sifa moja kubwa miongoni mwa nyingi.
Ni mtu anayejua kuipeleka hadhra aliyoikusudia kule anakotaka.
Katika kufanisha mipango yake iwe kwa uzuri au ubaya kutegemea hoja, Mohamed hurudi jambo hata mara 1000. Mzee Said anafahamu, kurudia rudia uongo mara nyingi hugeuka kuwa ukweli.
Soma hapa chini
Kwa mtu anayesoma vitu juu juu, au asiye na ufahamu wa kina na mada au mwenye upungufu tu wa kibinadamu wa kuelewa, hoja ya Mohamed inasomeka tofauti lakini kwa mtazamo wa kusudio lake.
Msomaji ataamini kuwa Nyerere alitoka Butiama na kufikia kwa Abdul Sykes.
Na kwamba ujio wa Nyerere ilikuwa zao la juhudi za Abdul Sykes.
Hapo Mohamed atakuwa tayari amempa 'mbwa jina baya ili amuue''
Hapa ieleweke suala si uhusiano wa Nyerere na Abdul unaopingwa.
Nyerere alifika Dar es Salaam kwa mara ya kwanza katika mkutano mwaka 1948 akitokea Tabora.
Baadaye Nyerere alikuja Dar kufundisha kama Mwalimu kule Pugu.
Alipoacha kazi ya Ualimu ndipo alipokwenda kuishi na Abdul
Mohamed hawezi kukueleza mahusiano ya kufahamiana japo kwa juu juu kati ya Nyerere na Abdul
Atakachokueleza ni Nyerere kuishi kwa Abdul na atarudia mara 1000 na inageuka kuwa ''ukweli ''
Tumemueleza Mohamed, haiwezekani Chama kikawa na makao makuu Dar es Salaam chini ya Abdul Kleist Syke Mbuwane, na mwenyekiti huyo asitambue uwepo wa tawi kubwa sana la Tabora likiongozwa na katibu Nyerere.
Haiwezekani kwamba Nyerere alizuka mwaka 1948 kuja katika mkutano ambao watu hawamjui na wala hawakutaka kumjua baada ya hapo.
Ikiwa ni hivyo huyu Abdul atakuwa kiongozi Mpumbavu sana.
Abdul hakuwa mpumbavu! wa kutambua wasomi wachache sana enzi hizo Nyerere akiwa miongoni!
Na ikiwa ilitokea haitakuwa ajabu, Abdul alikuwa Askari na aliwahi kuwafurumusha kwa makonde baba zake katika mapinduzi ya chama, seuse kumtambua Nyerere!
Sina tatizo na mtazamo wa Mohamed wala historia yake.
Nina tatizo na jinsi anavyotumia kalamu yake kuudurusu uongo mara 100 hata kuufanya uwe ukweli kwa sababu rahisi tu '' ukitaka kumuu mbwa mpe jina baya'' na hapa Nyerere hakwepi jina.
Masalaam, narudi viungani kuokota kumbaa !
JokaKuu Pascal Mayalla Mag3
Upo sahihi, lkn swali ni je mwalimu Nyerere aliwezaje kutoka Butiama mpaka Pugu bila kupitia dar? Mi nadhani Bwana Mohamed said awe anazieleza Vizuri sentesi zake ili kuepusha sintofahamu kama hii. Aseme "mwl alifikia kwa Sykes baada ya kuacha kazi Pugu alikokuwa akifundisha"Wakati huo Pugu haikuwa Dar.ilikuwa Kisarawe
Nataka kujua kina Abdul walikuwa na haja gani ya kuunda TANU wakati tayari kulikuwa na TAA ambayo imeasisiwa na ndugu/Wazazi wao?.May Day,
Nifahamishe utakacho kusikia kutoka kwangu.
Ikiwa nakijua nitakueleza.
Nilikwambia tangu mwanzo hili huliwezi. Ona unavyo hangaika.Hivi wewe una umri gani???-- isiwe najadiliana na mwanafunzi wa darasa la 7 mbumbumbu au asiyetaka kuelewa au mtu aliyeishia darasa la 4.
Go, find a swahili dictionary in which search for word "Taazia" if at all it is a swahili word then you will find its meanings being exposed. (Labda hapo utanielewa, pia niambie kabila lako ili nikuandikie kilugha chako labda utaelewa).
Ngojera nyingi, eti unajifanya wewe ni mjuzi mkubwa wa kiswahili hadi kuwakosoa waliotunga kamusi za kiswahili kwa kusahau kuliweka hilo neno!!!, hilo ni neno la kiarabu wewe!! Kiswahili chake ndiyo Tazia naTanzia, Zinduka acha ubishi wa kitoto, ubishi wa Majini- paka na mbwa.🤣
Knowledge is a deep sea, you need to be humble and dive deep down to explore its treasures mean while God holding your hands.
"Taazia" ni neno la kiarabu halisi lililoshindwa kutamkwa vyema na watu wa pwani, kihistoria watu wa pwani walichangamana na waarabu sana kuliko watu wa bara, ni sehemu chache sana za bara ambapo Waarabu walikita mizizi yao mfano Ujiji ambapo ndipo nilipozaliwa.
Kibri na majivuno tu ndiyo yanaunguza roho yako, eti ukikubali anachosema Mokaze utadhalilika!!!.
May Day,Nataka kujua kina Abdul walikuwa na haja gani ya kuunda TANU wakati tayari kulikuwa na TAA ambayo imeasisiwa na ndugu/Wazazi wao?.
Na wakati wote kabla ya Mwalimu kuingia ndani ya TAA, hilo lengo la Abdul kuunda TANU lilifanikishwa chini ya uongozi wa Mwalimu?.
TANU ilikuja ndani ya uongozi wa Mwalimu TAA, na Mwalimu pamoja hata Mzee Waikela (moja wa Watu wa jikoni kabisa) anasema kilichofanyika ni kuibadilisha TAA kuwa TANU...sasa kwa nini unasisitiza iwe kana kwamba ni chama kipya kiliundwa?....unapoteza nini ukikiiri kuwa ni TAA ndio ilikuwa transformed na kuitwa TANU?.
Ni kweli Abdul na Wenzake wakiwa Burma walikuwa na mipango hiyo ya TANU, na hata Mwalimu kaeleza hivyo, lakini hawakufanikiwa kuunda chama kipya bali chini ya Mwalimu jina la TANU walilolipendekeza kina Abdul Sykes ndio likatumika.
Nilikwambia tangu mwanzo hili huliwezi. Ona unavyo hangaika.
Mzee Abdulatif Abdallah siyo nguli wa Kiswahili anae rejewa ? Au utakuwa humjui wewe,na yeye anakwambia "Taazia" ni Kiswahili cha pwani.
Nilicheka sana ulipojenga hoja ya tamko kukosekana katika Kamusi ndiyo hoja ya kwamba tamko hilo si la Kiswahili, huu ni ujinga mwingine, je kuna muandishi yeyote aliyekwambia ya kuwa KAMUSI ya Kiswahili imekusanya maneno yote ya Kiswahili ? Sasa huu ujinga unautoa wapi ?
Pili, nilikupa marejeo toka katika kitabu cha "NAHW" ya Kiarabu kinavyo ongelea suala la matamko na sentensi zao, sasa unapokosolewa unatakiwa ukubali na urejee kwenye elimu, kuliko kuanza kunituhumu kwamba mimi mjuaji, hali ya kuwa kweli nimekutangulia katika hili. Nikakutolea mfano mwingine mdogo sana wa tamko "Mauti" hilo ni tamko la Kiswahili, ambalo tofauti yake na la asili ya Kiarabu ni utamkwa wa (و) kwa (a). Lakini tamko hili husemwa ni la asili ya Kiarabu.
Maneno yote yaliyo toholewa yametokana na hali hiyo ya watu kuahindwa kutamka kaa inavyotakiwa na kuingizwa katika lugha husika aidha kwa kuyavadilisha umbile na maana au umbile peke yake ila maana ikawa ni ile ile. Kwahiyo kushindwa watu kutamka hakuondoi asili ya tamko husika na linapo badilishwa linakuwa tena si tamko la Kiarabu bali ni la asili ya Kiarabu.
Sasa naposema hili huliwezi ujue huliwezi kweli.
Naona unakimbia kivuli chako, unahamia kwenye Kamusi, na huku nimekuuliza swali kwamba Je kamusi zina maneno yote ya Kiswahili ? Hujajibu.Wewe unashangaza sana unatoa mfano unaojifunga wewe mwenyewe, haya chukua hilo neno lako "Mauti" (kisu chako cha kujinyongea mwenyewe), umesema lina asili kiarabu haya sasa limo katika kamusi za lugha ya kiswahili au halimo???
Tamko kutokuwepo katika kamusi ya Kiswahili haimaanishi si neno la Kiswahili, sababu hao waandishi wa Kamusi hurejea kwa Waswahili ili kupata maneno na kujua yanatumika vipi.sasa twende kwenye neno "Taazia", je limo kwenye kamusi za kiswahili au halimo??.
Nasema ni la Kiswahili sabababu linatumiwa na Waswahili wa asili na linanyumbulika kwa kufata kanuni za sarufi ya Kiswahili.Neno lisikokuwemo ndani ya kamusi za kiswahili utasemaje hilo ni neno la kiswahili??!!,
Hii si hoja ya msingi, hasa unapo kuta Waswahili wenyewe wanalitumia tamko hilo.Neno lisikokuwemo ndani ya kamusi za kiswahili utasemaje hilo ni neno la kiswahili??!!, ndiyo maana kuna vyombo na mabaraza ya kiswahili toka zama za ukoloni huko Kenya kulikuwepo na Baraza la kiswahili (the East Africa territorial languages -----?? ) kazi zake ndiyo hizo kuangalia maneno mapya nk, maadamu bado halimo katika kamusi za kiswahili hilo bado ni kiarabu au tuite ni neno la watu wa pwani.
Hiki siyo Kiarabu sababu hayaingii katika sarufi ya Kiarabu, na Kiarabu kina lahaja zake.Nilikupa mfano na hapa naurejea tena kwasababu yawezekana huna macho, maneno ( محمد الرسول الله) watu wa Ghana wanatamka; Muhamada lasululaaa, je maneno hayo waliyoyatamka kimakosa (lafudhi mbovu) ni kiarabu au ni kilugha chao????.
Hili la kupingana na Qur'aan mpaka unakufa huwezi kukithiri bitisha zaidi utaumbuka wewe.Wewe ni mbishi sana, huwa Unapingana na Qur'an mimi nani nikuweze??!!😁