Kuna moshi ulitokea Kule Luangwa Raisi akihutubia ,hii jambo LA ajabu
Nitoe machache haya yangetokea kule Ufipani sijui! Yaani watu wangeongea mengi ,munaonaa wafipa !
Jamani acheni zambi ya maneno je, Luangwa wale wazee ni wafipa?
Siamini sana uchawi ,najua upo kwani umemwa sana
Mungu alipishilia mbali wazee wakifipa ,sijui wangekimbilia wapi?
Tusalifye LEZA,aliepusha
Ushauri tusipende kuamini mambo ya kichawi ,Siku hizi hata teknolojia kuna uchawi
Silaha ni yesu na Mohammad kwa waamini
Tuyaule yonsi,mwalinda uli?