Mohammed Khatibu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 1,170
- 1,617
Nakuunga mkono mkuu!
Rais “wenu”!
Sio wote,jizungumzieni wenyewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais “wenu”!
Sio wote,jizungumzieni wenyewe!
Umewaza mbali sana Kaka, wahenga husema "jicho la 3"Hii ni hujuma dhidi ya Rais, probably na baadhi ya wana usalama, that smoke could be poisonous.
Huu mwanga ni hitilafu ya camera maana kwenye picha yako ya pili hapo ukiangalia unaona umehamia kwenye huo mti baada ya kuonekana anganiMpaka mnaleta na Moshi
Ukiangalia clip vizuri inaonekana kuna mwanga kama wa flash hivi halafu na sauti inafuata kama kuharibika kwa kitu ( kama ni hiyo camera imepata hitilafu vile)
Lakini baada ya mwanga mkali wa kwanza na sauti halafu moshi, bado mwanga ule ulikuwa upo kadri camera ilivyokuwa inazunguka
Ngoja niwatumia NASA wakaingalie vizuri [emoji23] maana hii kama sio hitilafu ya camera basi acha tuwapambanishe na sayansi
View attachment 1238981View attachment 1238980
Tairi ikitoa upepo siku hizi inatoa na moshi ?kuanzia sec ya 08 hadi hadi ya sec 11, kuna sauti kama tube ya tairi ya gari inatoa upepo (psssssss) vikienda sambamba na huo moshi! Tuelezwe hio sauti ni yanini, isije ikawa ndipo moshi ulitokea, kbala hatujawasingizia wazee wa ruangwa!
pili, alierekodi hio vdeo lazma yupo karibu na hicho kitu kinachotoa upepo au pngine huo moshi, otherwise device yake isingenasa huo mlio wa pssssi!
kwann aliacha kuendelea kumrekodi jpm?
Yes nimeona hicho kitu , then alivyoangalia ndo akasema naona hii ni kazi ya ruangwa 😀🤭😢! Mwanzo nilijua hiyo Tv 📺 hapo labdaWatu walitaka kufanya yao. Ukiangalia vizuri utaona pia kama mwanga wa nyota kama sio miale ya jua.
Yeye aliwashtukia mapema. Nimekumbuka Kuna kiongozi aliokolewa jukwaani na wazee kabla ya radi kulipasua jukwaa.
Tuwaombee viongozi wetu wanakumbana na mengi
Mpaka mnaleta na Moshi
Ukiangalia clip vizuri inaonekana kuna mwanga kama wa flash hivi halafu na sauti inafuata kama kuharibika kwa kitu ( kama ni hiyo camera imepata hitilafu vile)
Lakini baada ya mwanga mkali wa kwanza na sauti halafu moshi, bado mwanga ule ulikuwa upo kadri camera ilivyokuwa inazunguka
Ngoja niwatumia NASA wakaingalie vizuri [emoji23] maana hii kama sio hitilafu ya camera basi acha tuwapambanishe na sayansi
View attachment 1238981View attachment 1238980
Hiyo seen niliiona TBC walikuwa Live,ila walikatisha matangazo ghafla baada ya huo moshi kumfunika Rais na yeye kutamka hayo maneno,sema tu tulichukulia kama kitu cha kawaida.Where did you get this ?
Watu wana uchungu na korosho zao eehWatu walitaka kufanya yao. Ukiangalia vizuri utaona pia kama mwanga wa nyota kama sio miale ya jua.
Yeye aliwashtukia mapema. Nimekumbuka Kuna kiongozi aliokolewa jukwaani na wazee kabla ya radi kulipasua jukwaa.
Tuwaombee viongozi wetu wanakumbana na mengi
Aisee usikute wamempulizia hewa ya sumu
Umewaza mbali sana Kaka, wahenga husema "jicho la 3"
Mmakonde chi ntu
Siongelei video,naongelea picha mtu kabebwa kwenye machela.Hiyo seen niliiona TBC walikuwa Live,ila walikatisha matangazo ghafla baada ya huo moshi kumfunika Rais na yeye kutamka hayo maneno,sema tu tulichukulia kama kitu cha kawaida.