Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna lolote. Hitilafu ilitokea ndani ya gari lake ikabodi abadilishiwe. Kama unaona mtu mmoja amebeba mizigo, hiyo ilikuwa inahamishwa. Labda matunguti yake ndo yalipata motoWatu walitaka kufanya yao. Ukiangalia vizuri utaona pia kama mwanga wa nyota kama sio miale ya jua.
Yeye aliwashtukia mapema. Nimekumbuka Kuna kiongozi aliokolewa jukwaani na wazee kabla ya radi kulipasua jukwaa.
Tuwaombee viongozi wetu wanakumbana na mengi
Wewe huo moshi unaona ulitokea kwenye nini?Hitilafu gari ya Rais?? Sahau kitu hicho
Ni sahihi kabisa, kwasababu palianza muungurumo kwanza ndio moshi ukafuatia, ni gari hilo, acheni kukumbatia ushirikina,Wewe huo moshi unaona ulitokea kwenye nini?