Historia imeandikwa tena UN kwenye hansard yao wameweka record ya huyo mliyemkataa...Amekuwa kama Bwana Mungu wake kwa wayahudi walikataa kumpokea kama masihi wao kisha wakamuua lakini chakushangaza kwenye msalaba pale wakaandika japo kwa dhihaka YESU MFALME WA WAYAHUDI, na ikawa ndiyo record iliyoishi mpaka leo...Hekima ya Mungu surpasses human understanding; miaka 100 ijayo wengine wooote watasahaulika, lakini itabakia hiyo hansard ya dunia ikiweka kumbukumbi za zile speeches zilizotolewa na mataifa yote ya dunia kuhusu yeye na alichokifanya kwa Tanzania, Africa na dunia....Huo ndiyo ushuhuda aliouacha, kama walimpamba kinafiki basi ndiyo imeshakuwa...Hakuna mwingine tena wakuondoa hiyo record ya dunia its done for the rest of the life of this world...Pole sana!