Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Ni mambo ya ulimwengu wa roho lakini Mungu akamlinda ili aendelee kutumikia watu wake.
 
Wewe ni Mungu??
Kuna Mungu mmoja tu aliye hai. Yohana 1: 1
Wewe ni Mungu??
Mungu ni roho, kwa asili isiyoonekana (Yohana 4:24). Mungu ni Mmoja, lakini Yeye yupo kama watu watatu-Mungu Baba, Mungu Mwana, na Mungu Roho Mtakatifu (Mathayo 3: 16-17).

Mungu ni asiye na mwisho (1 Timotheo 1:17), hauwezi kulinganishwa (2 Samweli 7:22), na hawezi kubadilika (Malaki 3: 6). Mungu yupo kila mahali (Zaburi 139: 7-12), anajua kila kitu (Mathayo 11:21), na ana nguvu zote na mamlaka (Waefeso 1; Ufunuo 19: 6).
 
Yaani mnamuua mtu mwenye maono [emoji1787] Kisha mnaleta asiye na maono [emoji23] watznia tunataka nn

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Alikuwa ana maoni gani Magufuli zaidi ya UDIKTETA, wizi, uuaji na uwongo? Yaani alijuwa jinsi Watanzania mlivyo wajinga akaishia kuwa pandikiza propaganda zake za uwongo.
 
Kuna Mungu mmoja tu aliye hai. Yohana 1: 1

Mungu ni roho, kwa asili isiyoonekana (Yohana 4:24). Mungu ni Mmoja, lakini Yeye yupo kama watu watatu-Mungu Baba, Mungu Mwana, na Mungu Roho Mtakatifu (Mathayo 3: 16-17).

Mungu ni asiye na mwisho (1 Timotheo 1:17), hauwezi kulinganishwa (2 Samweli 7:22), na hawezi kubadilika (Malaki 3: 6). Mungu yupo kila mahali (Zaburi 139: 7-12), anajua kila kitu (Mathayo 11:21), na ana nguvu zote na mamlaka (Waefeso 1; Ufunuo 19: 6).
3 in 1
 
Huyo wenu mwenye nafsi moja kila sehemu anaongea katika wingi.
Wingi ; ni heshima Wingi ; ni ukuu.

Tatizo ni lugha ulio zoweya .

Kifaransa ni mwiko kwa anae kuzidi umli ,.cheo kumtambua kwa nafsi ya pili ya umoja "TU" hutambuliwa kwa nafsi ya pili kwa Wingi "vouz" wakati mtoto anaambiwa antrer tois = Ingia .
Mkubwa anaambiwa antrer vouz ="Muingie"
Kuna lugha za makabila , zimetofautisha salaam kulingana na lika.
Mtu mzima hata kama unafahamu kua anaishi peke yake haambiwi umeamkaje? Bali mmeamkaje? Kwa hiyo tambua Wingi wakati mwingine nikanuni ya adabu ya lugha husika.
 
Kwahiyo Allah alipokuwa anaongea hivyo alionesha heshima na adabu kwa Muhammad na waarabu?
 
Salute kwa Wazee wa Ruangwa kwa kutuheshimisha. Tanzania ni mahali pema pa kuishi bila Magufuli
Kabisa!

Hasa kwa waliobutuliwa na magufuli kisha akawaacha na mimba zao

Kwetu wengine sisi hatuzielewi kabisa hizi takataka za sasa
 
Back
Top Bottom