Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Hiyo unayoijua wewe, hupendi kusikia eeh? Basi ndiyo hivyo log on general meeting ya mwaka 2021 special session kwaaji ya hayati JPM ipo pale na hotuba kedekede za viongozi wa dunia wakitoa tributes zao kwake....Is a privillage kuofia nchi yako ukiwa unaitumikia maana kama ni kufa sote tutakufa tatizo tutakufaje ndiyo Mungu mwenyewe huamua, kwa huyu hiwa aibu na fedheha, kwa wengine utukufu wake hujidhihirisha!
Tribute huwa ipo kwa Rais yoyote hasa anayefia madarakani (Which is rare) msitake kugeuza eti ni exceptional Fulani hivi.
 
Tribute huwa ipo kwa Rais yoyote hasa anayefia madarakani (Which is rare) msitake kugeuza eti ni exceptional Fulani hivi.
Kwani mimi nimesemaje? Kamuulize Mungu aliyekubali afe ili apate hizo tributes na sizo kejeli zenu hizo...Mungu siyo Zito Junior😂 pengine ungependa afe akiwa anatemewa mate kwa jinsi unavyoonyesha chuki juu yake, i.ekula kwako sasa
 
Imekula kwangu kivipi? Yaani huyo dikteta analiwa na funza huko kuzimu alafu imekula kwangu??

Kingine si nyie mlikua Kila siku hapa mnasema mabeberu hawamtakii mema JPM na kwamba walimuua Sasa kivipi Tena unatumia nguvu kuonyesha mabeberu walimpenda??

Mnachekesha sana
 
Rais Magufuli alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba.

Angalia video hapo chini.

View attachment 1238956
View attachment 1907395
Asante kwa wananchi wa Ruangwa kwa kutuheshimisha watanzania. Huyu dikteta alijifanya mungu-mtu ila mukamuonyesha kuwa yeye chochote
 
Wewe Huihui2 unakufa leo usiku na mbwa watakuja kunyea juu ya kaburi lako.
Kufa nitakufa siku aliyonioangia Mungu na siwezi kuacha malalamiko kutoka kwa watanzania. Ni furaha kuona Magufuli amekufa yeye kwanza kwa sababu aliahidi kuwa tutalimia meno na kuishi kama mashetani
 
Rais Magufuli alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba.

Angalia video hapo chini.

View attachment 1238956
View attachment 1907395
Kiburi cha madaraka kilimpanda, akawehuka. Akawa anapanga nani aishi na nani afe, akawa anachagua nani awe maskini na nani awe tajiri. Wengine akawarundika kwenye magereza bila makosa.

Ila alipogusa korosho za Lindi, wenyewe wakamjibu!!
 
Back
Top Bottom